Television ya taifa (TBC1) na Timu ya taifa (taifa stars)

Mavella

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
459
75
Tbc1 ni kwanini huwa wakati timu ya taifa (taifa stars) inacheza inashindwa kuonyesha live mechi zake nashangaa nchi zote zinazo tuzunguka huwa timu yao ya taifa ikicheza lazima television ya taifa husika ionyeshe mechi live hata kama pay tv zinaonyesha lakini hapa kwetu ni tofauti kwa mfano leo tunavyocheza na uganda utakuta Ubc wanaonyesha vilevile kenya kbc wataonyesha mfano mwengine siku zote bafana bafana ikicheza lazima SABC ionyeshe wakati huohuo supersport inaonyesha hata katika ligi ya south africa au kenya television ya taifa kuna mechi wanainyesha angalau moja kwa wiki.
je kwanini hapa kwetu inakuwa tofauti?
 
Ungeona wanavyokatika katika kwenye mikutano yao wanayorusha na quality ya picha zao usingetamani wakuonyeshe mpira
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom