Teknolojia ya kutumia maji kwenye Injini ipo?

Jun 29, 2022
16
11
Habari zenu Wana jf?

Kuna swali huwa najiuliza lakini nakosa jibu sahihi,nikaona si vibaya swali/jambo hili Nika wahusisha na ndugu zangu wa humu jukwaani.

Jambo lenyewe si geni saana Ni hivi, Kuna TEKNOLOJIA Fulani ya kuendesha mitambo yaani namaanisha injini kwa kutumia maji ambayo nimekuwa nikiisikia tu japo sikuwahi kuona utendaji wake kiuhalisia.

Swali langu ni, je TEKNOLOJIA hii Ni kweli ipo? Kama jibu ni ndiyo, je huku kwetu tz imefika au ipo nchi za watu?

Naombeni ushirikiano wenu kwenye hili hususani kunifahamisha Kama TEKNOLOJIA hii inafundishwa kwenye vyuo vyetu vya Kati au vya juu hapa nchini.
 
Back
Top Bottom