Teknolojia mpya kwenye ulimwengu wa mawasiliano

gwaya

New Member
Jan 11, 2011
4
0
Hivi karibuni kuna teknolojia mpya imegundulika,teknolojia hiyo utendaji kazi wake ni kama Bluetooth ila yenyewe ina huwezo mkubwa zaidi ya bluetooth.Inasemekana hiyo teknolojia itaweza kuonda matumizi ya nyaya majumbani,maofisini, pia na mikutanoni.Na dhumuni kubwa kabisa ni kuviwezesha kuviunganisha vifaa bila nyaya, vifaa husika ni DVD player,LCD_TV,Home theatre systems,Simu za viganjani ,Printer,Projector,Camera,Computer n.k.Kwa kifupi ni kuunganisha vifaa vyote vya majumbani bila ya kutumia nyaya yani wireless communication.Mfano,DVD player itaweza kuunganishwa na TV bila ya kutumia waya na kucheki movie paspokuwa na tatizo lolote kama inavyo kuwa vimeunganiswa kwa nyaya.Pia mbali na kutumiana au kubadilishana mafaili modogo kama vile picha au mp3 kupitia simu zetu, teknolojia hiyo itaziwezesha simu zetu kuweza kutuma faili kubwa lenye 1GB ndani ya sekunde chache kwa mtu ambaye yuko karibu yako, kama ilivyo matumizi ya bluetooth.
1YOWIoAAAAASUVORK5CYII=


afro_mmwave.jpg

1YOWIoAAAAASUVORK5CYII=


Continue.....Technology--Teknolojia mpya kwenye ulimwengu wa mawasiliano
 
Hivi karibuni kuna teknolojia mpya imegundulika,teknolojia hiyo utendaji kazi wake ni kama Bluetooth ila yenyewe ina huwezo mkubwa zaidi ya bluetooth.Inasemekana hiyo teknolojia itaweza kuonda matumizi ya nyanya majumbani,maofisini, pia na mikutanoni.Na dhumuni kubwa kabisa ni kuviwezesha kuviunganisha vifaa bila nyanya, vifaa husika ni DVD player,LCD_TV,Home theatre systems,Simu za viganjani ,Printer,Projector,Camera,Computer n.k.Kwa kifupi ni kuunganisha vifaa vyote vya majumbani bila ya kutumia nyanya yani wireless communication.Mfano,DVD player itaweza kuunganishwa na TV bila ya kutumia waya na kucheki movie paspokuwa na tatizo lolote kama inavyo kuwa vimeunganiswa kwa nyaya.Pia mbali na kutumiana au kubadilishana mafaili modogo kama vile picha au mp3 kupitia simu zetu, teknolojia hiyo itaziwezesha simu zetu kuweza kutuma faili kubwa lenye 1GB ndani ya sekunde chache kwa mtu ambaye yuko karibu yako, kama ilivyo matumizi ya bluetooth.

Mkuu mbona nyanya zimezidi kwenye thread yako??Au ni ya kupika haijapikika vizuri??
 
Are you talking about Millimiter Wave-based wireless personal area network (mmWave WPAN)?
 
Back
Top Bottom