Unayajua maana ya mwanajeshi???Unajua maana ya kuruta???Wanajeshi hawawezi ngumi hata kidodo.
Hakuna mwanajeshi anayeweza simama man to man empty hand labda wachache Sana.
Wao wataenda kukusanyana makuruta kambi nzima
Mimi ni baba yako, acha matusi, kama huamini muulize maza!UNAUJUA UCHUNGU WA MKE WEWE KIMA!? UNANDIKA UTUMBO GANI HAPA TOMBE.WA UONE!
Ni ujinga wa hali ya juu raia kupambana na askari.Ile hali ya uaskari haikubaliki kushindwa mbele ya raiaKeko: Askari Magereza watembeza kichapo kwa raia usiku kucha
UKONGA MOMBASA, DAR: Polisi watembeza kichapo kwa raia. Yadaiwa kuna askari kauawa na raia
Nawashauri msipende kujifanya mnapambana na Askari, we ukiona askari ameingia anga zako jitahidi upate ID yake Kama ni jina kamili, picha au namba yake then nenda kalalamike kikosini au kituoni kwake, ukiona wanakuzingua nenda makao makuu alafu uone kinachompata nakuhakikishia utamhurumia tu.
Sasa hizi habari za kupambana na Askari zitaendelea kuwagharimu sana wahusika.
Askari hawapigi raia bila sababu wala kuchokozwa, ukiona raia anapigwa na Askari ujue raia wamelikoroga wenyewe.
Poleni watu wa Tegeta.
Basi utakuwa ni familiaMi sio police baba
Mkuu zile product za ngere ngere hazifaiNaunga mkono hoja. Jeshini kuna taratibu za kinidhamu na ndio maana kuna Court-martial na Military Police.
La kuzingatia ni kutoa taarifa sehemu husika (Jeshini MP) na taratibu nyingine hufuata. Ukitaka kushindana nao kimtaani madhara yake ni kama hayo. Kuna siku maeneo ya Kawe nilishuhudia wahuni wakivurugwa na jamaa mmoja (Mwanajeshi wa Ngerengere). Dakika mbili tu palikuwa hapatoshi na kulikuwa na utulivu wa hali ya juu. Raia tuwe makini tunapodili na Wanajeshi. Hawa jamaa wana mafunzo ya kuondoa uhai kwa sekunde kadhaa na wala isimsumbue nafsi yake. Wakati kuna wakina sisi hata kuchinja kuku (mtetea) ni zoezi pevu.
Na hao wanaopiga raia wanachukua sheria miguuni?muda mwingine tuwe tunafikiria hata kama umefumania, sasa ndio uchukue sheria mkononi..!?
Ni balaa mkuu. Jamaa alikuwa amevaa pensi na Tshirt yake wahuni wakamchukulia poa. Kwa muonekano ni janki tu unaweza kifikiri ni hawa masharondondo. Kumbe ni walking killing machine. Aliwavuruga jamaa mpaka sisi Raia tuliokuwa pembeni tunashuhudia tulishika adabu. Polisi walipofika eneo la tukio wakamchukua. Baada ya dakika kadhaa akarudi pale na mwenyeji wake (kaka yake). Ndio tukahabarishwa kwamba jamaa ni Mjeda wa ngerengere. Alikuja mjini mara moja tu. Nilichoka kabisa mkuu.Mkuu zile product za ngere ngere hazifai
Kwahiyo ndio na hao wanajeshi wachukue sheria mkononi?muda mwingine tuwe tunafikiria hata kama umefumania, sasa ndio uchukue sheria mkononi..!?
Mi nawapenda tu hao viumbeBasi utakuwa ni familia
Unajua maana ya Jeshi au Mwanajeshi mkuu!? Ndio maana wanajeshi huwa wanakuwa na sehemu zao maalum za makazi, kazi na burudani (Officers mess). Ikiwa mwanajeshi yuko uraiani na ikatokea sintofahamu akapigwa kinachofuata ni reaction kama hiyo katika eneo husika. Japo kosa linaweza kuwa ni la mwanajeshi, lakini haikupi Raia mamlaka ya kujichukulia sheria mkononi. Kuna taratibu za kinidhamu hufuatwa na mwanajeshi husika atapata adhabu stahiki kutokana na sheria za Kijeshi (Marshall Law).Kwahiyo ndio na hao wanajeshi wachukue sheria mkononi?
Kufumaniwa maana yake ni nini mkuu?Kwani alibaka? Au aliiba yeye kapewa kwa makubaliano maalum
Hapo aliyefumaniwa ni mwanamke akingonoka na huyo mjeshi. Na huyo mjeshi angekutwa na mkewe akiwa na mke wa raia ,pia tungesema mjeshi kafumaniwa .Hivyo hapo wakupigwa ni mwanamke kwa vile kachepuka. Cjui kama nimeeleweka au nimevurugaKufumaniwa maana yake ni nini mkuu?
Makubaliano na mume huyo mzizi mwenzie au?
Wangemtia kilema cha ushoga tu huyo wala wasingepigwa maana angenyamaza kimya...