Tecno Pouviler 3 Air hai_connect USB Port katika pc na wala hakuna notification yoyote; ina soma km charger tu

Ceasario

Senior Member
May 21, 2017
111
97
Habari Wana jamvi,

Hii simu (nimeichukua kwa mtu hivi karibuni),TECNO POUVilER 3 AIR hai_connect USB port katika PC na Wala HAKUNA notification yoyote; Ina Soma km charger tu na inachaji vyema kabisa

Je, ndivyo zilivyo kwa maana Ni download driver katika PC ama itakua System imekufa katika simu ibadilishwe?
 
Badilisha system chaji (kama tulivyozoea kuiita) kama haitasoma baada ya kuibadilisha shida itakuwa kwenye cpu ya simu yako.
 
Back
Top Bottom