GUSSIE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,866
- 11,100
Hili ninaloliongea nimelishuhudia mwenyewe,Wachezaji wa simba wakiandamana kwa mganga wa kienyeji ili kupata nafasi ya kucheza kwenye timu ,
Wachezaji wa Yanga pia wanapishana kwa mganga huyo huyo kutafuta namba ya kudumu kwenye timu
Mganga huyo sitamtaja kwa jina lakini namtaja kwa code ,ni mtu wa makamu na hafanyi kazi nyingine zaidi ya kupata fedha toka kwa wachezaji wa Yanga na Simba
Kuna wachezaji wa simba nimeshuhudia wakimlipa pesa zaidi ya milioni 15 ili kumsababishia mchezaji mwingine awe anasumbuliwa na matatizo ndani ya club ili yeye aonekane ni bora zaidi
Amekuwa tajiri wa kutisha na hata ukifika nyumbani kwake hutafikiria kuwa ni mganga kwani anavaa kitozi ,Cheni kwa sana na msela nondo hivi.Anamiliki majumba ya kisasa hapo kwake ,Ukifika kwake huwezi amini kuwa yeye ametulia tu anakula maisha bila kitega uchumi chichote bali fedha za wachezaji wa somba na Yanga wanaoandamana kwake
Anaishi barabara ya Bagamoyo road kabla hujafika Boko chama anajulikana kwa code kama CLEAN WATER
Sikuwahi kuona mtu yeyote akitibiwa hapo zaidi ya wachezaji wa simba na Yanga
Kwa wale ambao wanaielewa hiyo code na mazingira hayo ni mpishano wa magari ya wachezaji wa simba na Yanga kuelekea kwa huyo mtu,Nimeshuhudia Toyota Premio tofauti tofauti za wachezaji hao ,kuna wakati nikajiuliza ndio masharti wao kuja pale na Toyota Premio au wanapenda tu kuzimiliki hizo gari hao wachezaji