Tcu second round imeshatema..

Mzalendo Jr.

Member
Sep 11, 2015
11
2
TCU Wameachia Majibu Ya Waliofanikiwa Kupata Vyuo Kwenye Second Round, Zama Kwenye Profile yako Sasa Hivi, Alafu Nenda View Selection Utaona Na Chuo Ulicho be Selected.. Wajulishe Na Wenzako
 
jamani kwang mm kipengelw cha admited by institution imeandikwa wait for aprov niweken xawa ninawenge hapa mbaya wakuu msaaada nimekosaaaa au nimepata????
 
Kuna rafiki yangu anakuta blanks hajaandikiwa chochote hii INA maanisha nn msaada wakuu.
 

Attachments

  • 1444241850601.jpg
    1444241850601.jpg
    12.9 KB · Views: 197
hv kwa waliochagua 2round ST.JOSEPH dar wote tayar? nsaidieni wakuu maana katka selections ya 2round nlchagua st.joseph lakn mpka now hawajanchagua ila naomba hvyo wacnchague il npate udsm klichobak katka machaguo yangu,,,,maana waliopata udsm 2round bado hawajaachia majna,,,,, xo nijulshen km st.jose wameshawachukua wote wa 2round il nijifariji
 
angia.kwenye profil yko wamekupangia.wao wapi!


wanasema niwait mpaka chuo wapeleke feedback ndo wata diplay course nlyopata nljaza udsm na st.jose tu afu st.jose nackia wao wameshatoa majna ya 2round yote ila cna uhakka ndo maana nahc ntakuwa udsm maana wao ndo huwa wanachelewa kuleta feedback
 
Back
Top Bottom