TCU second round application

MZIBHAZI

JF-Expert Member
May 11, 2013
520
136
Hivi wale waliokua not selected na TCU wakapewa list ya course za kuomba zenye nafasi mpaka saa hizi hawajatoa results hawa TCU maana wengine washaanza masomo sasa mpaka mtu uje ujiandaee upate pesa na regstration si semester inakua inaisha

Au TCU washatoa matokeo tayariu ?
 
Back
Top Bottom