Tcu imenifanyia hivi!!!

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
Ndugu jf
Niliomba admission kupitia TCU katika unversity mbali mbali kama vile Mucobbs lakini chakushangaza nimechaguliwa na kozi wameweka wanayo jua wenyewe nakuacha ambazo mimi niliziweka katika selection account yangu...hapa najiuliza nitasomaje kozi ambayo sijachagua wala sina interest nayo?

naombeni msaada chakufanya.
 
Kama hiyo kozi unayoipenda ipo katika hicho chuo ulichopangiwa mi nafikiri cha msingi ni kwenda kubadilisha na kusoma programme unayoipenda!
 
mh....vry sorry,ila make sure u make contact with them coz the issue is too important especially in your future!!
 
Kozi yenyewe ni marketing and enterpreneur bt mimi nilitaji procurement and logistic
 
Kuna mtu anaweza kunisaidia contact zao?

Piga hii +255 222 772657. Kuna mdau anayo ya Tigo nadhani ataweza kukupa pia.

My take. Uwe mvumilivu kwa jinsi wadada wa TCU Walivyo na nyodo, lugha mbaya na ya kukatisha tamaa. Kila la kheri.
 
Ndugu jf
Niliomba admission kupitia TCU katika unversity mbali mbali kama vile Mucobbs lakini chakushangaza nimechaguliwa na kozi wameweka wanayo jua wenyewe nakuacha ambazo mimi niliziweka katika selection account yangu...hapa najiuliza nitasomaje kozi ambayo sijachagua wala sina interest nayo?

naombeni msaada chakufanya.

Wapigie simu uwaeleze tatizo hilo mapema na kama hawpokei tuma hata email.

Kwakweli hii sytem ni nzuri ila TCU inaonekana imeweashinda kwa kiasi fulani na inabidi wajipange kuboresha hali iliyopo.Malalamiko yamekuwa mengi mno.Sijui kitengo cha IT ndio tatizo au hii sytem yoa ni ya mtumba kama zilivyo ATM za kibongo kwakweli nimeshindwa kupata jibu.
 
Kuna mtu anaweza kunisaidia contact zao?

0712722684 namba ndo hizo ila kama kawaida nanukuu
~My take. Uwe mvumilivu kwa jinsi jamaa wa TCU Walivyo na nyodo, lugha mbaya na ya kukatisha tamaa. Kila la kheri~
 
Nakushauri piga hiyo hiyo ndugu ni bonge la course hyo especially katIka wakat huu mgumu wa ajira
 
Nakushauri piga hiyo hiyo ndugu ni bonge la course hyo especially katIka wakat huu mgumu wa ajira

Hata mimi namshauri asome hii course, tena dogo una bahati course hii ukisoma vizuri hutahitaji kuajiriwa, hiyo ya logistics na procurement akili yako wewe ni kufikiria dili utakazofanya kwenye manunuzi na logistics au store, ambazo ni lazima uajiriwe na ajira zenyewe kiduchu na mko kibao, nakushauri tulia soma hiyo course!
 
Je? Maswala ya masters baada ya kusoma hii coz yanakuwa vipi wadau naombeni mnieleweshe!
 
Back
Top Bottom