TCU imebadilishia course applicants..go and check NOW!

GIGO - Garbage In Garbage Out. sidhani katika hatua hii TCU wana uwezo wa kubadilisha choice ya mtu. Pengine baada ya Selection ndo naona watu wanakuwa suggested vyuo pending approval ya mwombaji
 
CBG ndio hawasomi ualimu? Kwa akili hizo wamefanya makosa kukupanga chuo. Ungefaa urudie masomo sekondari

Kaka unamuonea bure tuu... BA. Education ni Bachelor of Arts with Education, wanasoma wenye masomo ya arts mf. Kisw,Engl ... Bora wangempa Bsc Ed.
 
Uko sawa, sikuwa nimemsoma. Bali asome tu kwa Tanzania Bsc na BA katika educ havina tofauti sana. Geography hapo inampa nguvu ya Arts. Somo la pili atachagua hata Civics.
 
Kama una diploma ya ualimu unatakiwa kuwa na gpa ngap il usome degree? Je unaweza ukapata mkopo kama ni mwalimu wa sayansi?
 
Kama una diploma ya ualimu unatakiwa kuwa na gpa ngap il usome degree? Je unaweza ukapata mkopo kama ni mwalimu wa sayansi?

kitafute tcu student guideline book kina kila kitu.kama hukupata nitakuwekea baadae mda uu sipo na laptop
 
TCU ww acha tu, noooomaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!
. mm mwenyewe niliomba education lakini wakanipa sp, wacha nikate mishahara ya watu!!!!!!!!!!!!!!!
 
msaada wakikuandilia hivyo wanamaanisha nini na mtu anazo hizo point zinazoitajika na kama wamekuandikia no unaweza kubadiri course?

For those with programmes marked "NOT ELIGIBLE or CHECK IN PROGRESS...."
Form Six >> CLICK HERE << to check for eligibility.



Code​
Description​
Institution​
Priority​
Selection Status​
Met Min Requirement​
DM058​
Bachelor of Arts with Education​
University of Dodoma​
1​
Not yet processed​
NO​
NT001​
Bachelor Degree in Logistics and Transport Management​
National Institute of Transport​
2​
Not yet processed​
NO​
AR023​
Bachelor of Arts in Community and Development Studies (CDS)​
Ardhi University​
3​
Not yet processed​
NO​
RD003​
Bachelor Degree in Population and Development Planning​
Institute of Rural Development Planning​
4​
Not yet processed​
NO​
ET001​
Bachelor of Arts with Education​
Eckernforde Tanga University​
5​
Not yet processed​
YES​
 
kapala mpya,badilisha course mpya haraka,hizo maana yake haujameet minimum requirement za kujiunga na chuo.
 
Nilidhani kuna mtu anabadilisha, kaifuma password!!!!!
Mtu amesoma HKL wanamwekea kozi za sayansi!
 
kapala mpya,badilisha course mpya haraka,hizo maana yake haujameet minimum requirement za kujiunga na chuo.

ni my young nshambadilishia ila ana point 4.5 mi nimesoma kipindi tunaombea vyuon huu uppuzi wa tcu ulikuwa haupo
 
nadhani ni mimi peke yangu kumbe tupo wengi, mi nimeshituka, nikadhani kuna mtu kaiba password zangu nakunibadilishia course, mi nimesoma hkl, wananipangia course za biashara na divinity ambazo sikuomba kabisa alafu na vyuo walivyonichagulia sijaomba ata kimoja.

we dogo kumbe ni hkl ndo maana msumbufu
 
Hiyo sasa ni janga kubwa.................aisee!du!...............hatariiiiiiiiiiii.............:kev:
 
Back
Top Bottom