TCU hii sasa imevunja record!

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,371
Jamani muda huu nimelog in kwenye account yangu kuona kama kuna jipya.Cha ajabu nimekuta ktk zile program nilizochagua kuna moja imeondolewa na badala yake kwenye ile nafasi nimekuta kozi nyingine ya chuo kingine.Kozi niliyoikuta niliwahi kuiweka ila nilikuja kuibadilisha na sikuwahi kuirudisha tena mpaka ule muda wa kufanya changes ulipoisha.Na siku zote ilikuwa haipo ila nimeshangaa kuikuta sasa hivi.

Naomba kama kuna mwingine amekuta kitu kama hiki atujuze.
 
Jamani muda huu nimelog in kwenye account yangu kuona kama kuna jipya.Cha ajabu nimekuta ktk zile program nilizochagua kuna moja imeondolewa na badala yake kwenye ile nafasi nimekuta kozi nyingine ya chuo kingine.Kozi niliyoikuta niliwahi kuiweka ila nilikuja kuibadilisha na sikuwahi kuirudisha tena mpaka ule muda wa kufanya changes ulipoisha.Na siku zote ilikuwa haipo ila nimeshangaa kuikuta sasa hivi. Naomba kama kuna mwingine amekuta kitu kama hiki atujuze.
Dah!! man me mwenyewe hivyo hivyo..niliwekaga medicine kama first choice nikabadili na kuweka pharmacy sasa hivi nimekuta medicine kama first choice...hawa tcu wanacheza na akili zetu mazee...
 
jamani form6 livaz selection bado mpaka mwezi wa tisa ok! kwa iyo kama ni tempopigen,kamanikulimalimeni sana ,
 
Selection teyari.. Mnachkiona ni just database error, yaani imeingia virus
'Acheni kuvunjana moyo, woote mtaenda vyuo mnavyo vitaka..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom