TBC1 kuandaa kipindi maalumu na kutoa tamko kali dhidi ya CHADEMA

AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,492
5,040
Taarifa nilizozipata mpaka sasa kutoka kwa mmoja afisa wa TBC1 ktk kitengo cha IT, ni kwamba TBC1 taifa itatoa tamko kali dhidi ya CHADEMA ktk kipindi maalum kitakachoandaliwa ambapo pia kuna taarifa kwamba watatmia fursa hiyo kulaani vitendo viovu vya CHADEMA ktk kuhatarisha amani ya nchi lakini pia watafichua nyaraka za siri za CHADEMA zenye agenda chafu dhidi ya viongozi wachache ambao hawatakiwi ndani ya CHADEMA.

Pia kuna taarifa kuwa baadhi ya vijana ndani ya uongoiz wa CDM wanaopinga umamuzi wa chama kususia CDM.

My view:
tutasikia mengi kuelekea 2015 kwani TBC1 is just like another uprising political party..

Stay turned.........
 
Thanks for the info Mkuu Gigi,...this is another puppet(TBC1),at work ..they should remember what you resist persist...
 
Nani ana muda na upuuzi wa TBC? iwe TBC1, 2, 3? Tido Mhando alianzisha programmes zenye ukweli wakamtimua, MAGAMBA YATALAINIKA TU.
 
Hivi kwa nini mnashindwa kutulia na kufanya uchunguzi ili mnapoleta mada hapa iwe imejitosheleza? Sasa mmeleta habari inaelea tu! Be serious!

hebu acha gongo za mchana mchana, humu JF ni mahali ambapo tunatakiwa kutoa habar mapema ili watu wajue sasa sijui ww unataka mpaka hii habari uisom kwenye Mjengwa.blog au kule michuzi.blog ndio uamin.

Think big.
 
Taarifa nilizozipata mpaka sasa kutoka kwa mmoja afisa wa TBC1 ktk kitengo cha IT, ni kwamba TBC1 taifa itatoa tamko kali dhidi ya CHADEMA ktk kipindi maalum kitakachoandaliwa ambapo pia kuna taarifa kwamba watatmia fursa hiyo kulaani vitendo viovu vya CHADEMA ktk kuhatarisha amani ya nchi lakini pia watafichua nyaraka za siri za CHADEMA zenye agenda chafu dhidi ya viongozi wachache ambao hawatakiwi ndani ya CHADEMA.

Pia kuna taarifa kuwa baadhi ya vijana ndani ya uongoiz wa CDM wanaopinga umamuzi wa chama kususia CDM.

My view:
tutasikia mengi kuelekea 2015 kwani TBC1 is just like another uprising political party..

Stay turned.........

Watakuwa wanajisumbua kuliko kupoteza muda wao kuandaa hicho kipindi ni heri wangeenda kukatika viuno kwenye show ya FM Academia..na huo muda ambao wangerusha hicho kipindi warushe kipindi cha Maisha bora kwa kila Mtanzania sanjari na Ari zaidi,kasi zaidi na nguvu zaidi.
 
I think this is another story, remember this...? THE FALL OF MALI EMPIRE AND THE RISE OF....! These are the days of joy and pain at a time.
Tamko litaamsha hisia za kuichukia TBC1 rasmi, washauri wao wako wapi? Wanataka kutoa TAMKO kama nani katika siasa?
Heard of BBC,ABC,CNN or the like doing this! THIS IS MADE IN TANZANIA.
 
Kwi kwi kwi kwiii,kumbe tbsii ni chama kingine,tendwa gamba ameshakisajili?hata waandae na pilau tumeshasema hatuwaangalii ng'oo!!!nadhani wale wachache wanaoipitia ni ze komedi tu fullstop.
 
hata wakiandaa wataangalia wao na wafuasi wao wana CDM tumeshaamua kuangalia TBC1 NO! mpk watakapojirekebisha kwa kuandika habari kwa weledi
 
Taarifa nilizozipata mpaka sasa kutoka kwa mmoja afisa wa TBC1 ktk kitengo cha IT, ni kwamba TBC1 taifa itatoa tamko kali dhidi ya CHADEMA ktk kipindi maalum kitakachoandaliwa ambapo pia kuna taarifa kwamba watatmia fursa hiyo kulaani vitendo viovu vya CHADEMA ktk kuhatarisha amani ya nchi lakini pia watafichua nyaraka za siri za CHADEMA zenye agenda chafu dhidi ya viongozi wachache ambao hawatakiwi ndani ya CHADEMA.

Pia kuna taarifa kuwa baadhi ya vijana ndani ya uongoiz wa CDM wanaopinga umamuzi wa chama kususia CDM.

My view:
tutasikia mengi kuelekea 2015 kwani TBC1 is just like another uprising political party..

Stay turned.........
Halafu baada ya hapo mkurugenzi wa TBC ataomba msamaha. Si ndo kawaida....
 
Watakuwa wanajisumbua kuliko kupoteza muda wao kuandaa hicho kipindi ni heri wangeenda kukatika viuno kwenye show ya FM Academia..na huo muda ambao wangerusha hicho kipindi warushe kipindi cha Maisha bora kwa kila Mtanzania sanjari na Ari zaidi,kasi zaidi na nguvu zaidi.
Kwi kwi kwi kwiii,dah hapo kwenye red mkuu umenimaliza mbavu zangu....tbisii ni mash...ga kama magamba.
 
Eti nini vile, TBC ujima mtupu tena bure kabisa!!

Walipa kodi wa nchi hii kama kuna mahala watu tumekula hasara na kuingizwa mjini fedha zetu kwa faida na miliki ya CCM peke yake ni pale TBCCM.

Habari zote mhariri ni Nape na Nchimbi tena kurushwa habari hewani ni kwanza mpaka ki-memo kitoke Lumumba. TBC ifilishishwe walipakodi tugawane fenicha pale.
 
Mtu mwenye akili timamu hawezi kupoteza muda wake kuangalia Station ya TBC.

Wamepoteza mvuto kabisa

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
mwenye kiti wa tbc political party anaitwa nani????????????? cz wanapoanza kuzozana na cdm wana wapatia cdm umaarufu wa bure....... tbc wasome nyakati as hizi sio nyakati za zidumu fikra za mwenye kiti............
 
Back
Top Bottom