TBC1 kuandaa kipindi maalumu na kutoa tamko kali dhidi ya CHADEMA

Mi na familia na kwenye hotel yangu ,siagalii tbc hiyo taarifa yao hainihusu.tena ni marufuku
 
Yule mdau alie sema tuungane kuihujumu tbccm sasa naona alikua ana point ya msingi!
 
Naomba warushe hicho kipindi ili wananchi ambao hawakusoma tamko la cdm wajue tbc na ccm ni baba na mama...hela zetu za kodi wanazifanyia kazi ya itikadi na uenezi wa majitaka
 
mwenye kiti wa tbc political party anaitwa nani????????????? cz wanapoanza kuzozana na cdm wana wapatia cdm umaarufu wa bure....... tbc wasome nyakati as hizi sio nyakati za zidumu fikra za mwenye kiti............

mkuu TBC ni sawa na an uprising political party.......
 
Hivi kwa nini mnashindwa kutulia na kufanya uchunguzi ili mnapoleta mada hapa iwe imejitosheleza? Sasa mmeleta habari inaelea tu! Be serious!
Tatizo ukiwa mwanachama wa CDM hakuna kutumia hekima ni kuropoka tu Baaaaaasi, hakuna masikilizano ni jazba tu na matusi. asante kwa kuwaeleza ukweli. maana no rsearch no freedom to speak, tukiyafanyia kazi mambo ya uchunguzi nchi itakuwa salama.
 
Kuna wachache huko CCM wana akili kama Mwandosya maana akisema wazi wazi Polisi wamemuua mwanae Mwangosi watatoa ushauri wao kwamba si busara lakini pia sitashangaa ujuha wa akina Nape wataendelea na kuona kipindi kinatoka .Wakumbuke kwamba nguvu ya mawasiliano ni kubwa sasa zaidi ya TBC .Sisi hizi watu wote na hasa watoto wa siku hizi wanajifunza FB na Twitter kuitumia upashanaji habari ni mkubwa zaidi ya TBC 1 wacha wajidanganye
 
Hawa jamaa kweli sasa wanatuboa, ndiyo maana hata katika taarifa yao ya mchana huu (inayoendelea sasa) hawajatoa coverage hata kidogo juu ya maandamano ya WANAHABARI yanayofanyika katika takribani mikoa yote ikiongozwa na Dar.
 
Taarifa nilizozipata mpaka sasa kutoka kwa mmoja afisa wa TBC1 ktk kitengo cha IT, ni kwamba TBC1 taifa itatoa tamko kali dhidi ya CHADEMA ktk kipindi maalum kitakachoandaliwa ambapo pia kuna taarifa kwamba watatmia fursa hiyo kulaani vitendo viovu vya CHADEMA ktk kuhatarisha amani ya nchi lakini pia watafichua nyaraka za siri za CHADEMA zenye agenda chafu dhidi ya viongozi wachache ambao hawatakiwi ndani ya CHADEMA.

Pia kuna taarifa kuwa baadhi ya vijana ndani ya uongoiz wa CDM wanaopinga umamuzi wa chama kususia CDM.

My view:
tutasikia mengi kuelekea 2015 kwani TBC1 is just like another uprising political party..

Stay turned.........

Nani ataangalia hicho kipindi wakati wanachama, wapenzi na mashabiki wa CHADEMA tumesusia hilo li TBCCM. Labda wakalipie ITV or StarTV kurusha hicho kipindi maalum. Otherwise audience itakuwa Nape na wenzie hivyo ujumbe wao hautatufikia
 
Taarifa nilizozipata mpaka sasa kutoka kwa mmoja afisa wa TBC1 ktk kitengo cha IT, ni kwamba TBC1 taifa itatoa tamko kali dhidi ya CHADEMA ktk kipindi maalum kitakachoandaliwa ambapo pia kuna taarifa kwamba watatmia fursa hiyo kulaani vitendo viovu vya CHADEMA ktk kuhatarisha amani ya nchi lakini pia watafichua nyaraka za siri za CHADEMA zenye agenda chafu dhidi ya viongozi wachache ambao hawatakiwi ndani ya CHADEMA.

Pia kuna taarifa kuwa baadhi ya vijana ndani ya uongoiz wa CDM wanaopinga umamuzi wa chama kususia CDM.

My view:
tutasikia mengi kuelekea 2015 kwani TBC1 is just like another uprising political party..

Stay turned.........

ninawaunga mkono tbc kwa sababu chadema wamezidi, maana wameona tbc haitangazi upuuzi wao wanaoufanya mikoani ndo maana wameamua kutangaza mgogoro nao
 
kuanzia hapo watakaporusha hiko kipindi tbc nitawaita (Televisheni ya chama cha siasa, siyo ya taifa), leo saa 2 usiku watuonyeshe sehemu kidogo pale dr nchimbi alivyokuwa anazomewa na waandishi wa habari na kuamua kushuka jukwaani.
 
TBC haiko kwa maslai ya watanzania iko kichama (ccm zaidi) ningemshauri tendwa angekisajili kiwe chama cha siasa kabisa ili ieleweke moja, watangazaji wake wote wapo kiccm zaidi yaani wanakera wanasahau kuwa wao ni wanahabari na sio wanasiasa.
 
Tbccm gamba limekuponza na ukisubutu kuandaa utumbo wako na kuulusha utabak kuangaliwa na watoto tena jumamosi aubuhi tu kipindi cha twende kilimani sesami
 
Pumba zao kama kweli TBC1 wanataka kuoperate hivyo basi wajue wanapoteza sifa ya kuwa chombo huru cha habari na kwa vyovyote wamejitia kitanzi kusubiri kujinyonga wenyewe. Hakuna mtu mwenye akili timamu atawatumia tena na watabaki kurusha maadhimisho ya kitaifa na ya CCM tu. Nawahurumia wafanyakazi na kama wana akili nzuri na busara wawashauri mabosi zao kwamba wanachokusudia kufanya ni kujikata shingo wenyewe. Wajue TBC sio chakula useme ukikikosa utakufa bali ni kama gazeti tu tena la Uhuru ambalo linasomwa tu na watu wa CCM.
 
ninavyoichukia hii tbc yaan weye acha tu!! ingekuwa kuna uchaw wa kuharibu mitambo ningefanya hivyo!
 
Back
Top Bottom