Katibu wa bunge akutana na uongozi wa TBC

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
738
479
Katibu wa Bunge Ndg. Nenelwa Mwihambi (ndc) akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Utangazaji - TBC Ndg. Stephene Kagaigai na Mkurugenzi Mtendaji wa TBC Dkt. Ayub Rioba walipomtembelea Ofisini kwake, leo tarehe 30 Novemba, 2023.

Pamoja na mambo mengine Viongozi hao wamejadili namna bora ya ushirikiano baina ya Taasisi hizo katika kuhabarisha umma wa Watanzania kuhusu shughuli zinazofanywa na Bunge kwa ujumla.

20231130_121320.jpg
 
View attachment 2829353
Tumekuona Kaka hongera Kwa kuongoza Taasisi isiyo na faida Kwa Watanzania.
 
Back
Top Bottom