TBC wanatuchakachua wabongo

samito

JF-Expert Member
May 16, 2011
631
176
Tamthilia ya kichina imetafsiriwa kwa kiswahili cha ki-kenya! imekaaje mlioangalia.!
 
hadi matangazo yanahusu product za wachina exept serenget japo wameonyesha uwanja wao kwenye tangazo mmh
 
Jamani, ni hatua mojawapo kuelekea kwenye kudumisha lugha yetu adhimu ya kiswahili. Nafikiri hizo zijazo tutafsiri wenyewe
 
Back
Top Bottom