TBC WANAPO POTOSHA UKWELI KUHUSU MGOMO WA MADAKTARI Hivi Huu ni Uhuru wa vyombo vya habari?

Kuna kanchi kamoja maarufu kako ulaya, TBC kwa lugha yao ni kifupi cha ugonjwa wa kifua kikuu. Sasa hiyo TBC1 ni mapafu ya CCM na sirikali yake yataisha tu!
 
Nakubaliana na Mwanzisha mada.
Sisi wananchi hatupendi hao madaktar wagome.Ila kitendo cha chombo cha habari kutokutoa taarifa za ukweli, NDICHO HASA KINACHOTUCHEFUAAAAAAAAAAAAAA:A S confused:
 
Alipokuja Tido Muhando kuongoza TBC alikuja na taratibu zake alizozitoa uingereza ndio maana serikali wakaona hawawezi kuendelea naye kwani alikuwa hafichi kitu,kama serikali imefanya madudu alikuwa anawaunbua live.Sasahivi tbc imekosa kiongoza ipo hovyo.
 
I don't give a shit about tbc1, medical doctors wa bongo wanapenda kunyenyekewa sana wanataka sijui wananchi wawaabudu kabisa.
 
kipindi cha tido watu walianza kuiamini tbc.
 
Isitoshe wananchi wanapo ambiwa hakuna mgomo kesho watapeleka wagonjwa kwa wingi alafu madhara ni vifo kwa kukosa huduma . Nilini TBC1 Itafungwa kwa kutoa habari za uongo
Nakubaliana na Mwanzisha mada.
Sisi wananchi hatupendi hao madaktar wagome.Ila kitendo cha chombo cha habari kutokutoa taarifa za ukweli, NDICHO HASA KINACHOTUCHEFUAAAAAAAAAAAAAA:A S confused:
 
Ninan mwenye CV ya huyu mkurugenz mpya TBC 1
Alipokuja Tido Muhando kuongoza TBC alikuja na taratibu zake alizozitoa uingereza ndio maana serikali wakaona hawawezi kuendelea naye kwani alikuwa hafichi kitu,kama serikali imefanya madudu alikuwa anawaunbua live.Sasahivi tbc imekosa kiongoza ipo hovyo.
 
I don't give a shit about tbc1, medical doctors wa bongo wanapenda kunyenyekewa sana wanataka sijui wananchi wawaabudu kabisa.

Inferiority complex hiyo mbele ya madaktari.
Nani kakwambia anataka kuabudiwa wewe?
Wapewe chao uone km watasumbuana na mtu.
Kwanza watu wamejikalia zao home, wewe kinakuuma nini?
 
Wakata Taarifa ya Chanel ten leo sa 1 na Ile ya ITV Sa 2 usiku zikiripoti uwepo wa mgomo wa madaktari, katika hospitali ya Mhimbili, Bugando etc. TBC Wametoa pongezi kwa madaktari kuitikia tamko la serikali kuwataka kuachana na mgomo na kutii kwa kuendelea na kazi leo. Hivi kweli upotoshaji huu si kuvicha kidonda kibichi hivi kikioza nani wa kulaumiwa. I hate TBC 1. Taarifa za uhakika ni kuwa mgomo umeanza rasmi leo

TBC, daily news na vyombo kama hivyo ni mouth pieces za serikali ambayo inaugua ugonjwa wa usiri kutokana na kuzongwa na kashfa nyingi za kila aina na udhaifu wake wa kushindwa kutoa maamuzi magumu kwa wakati. kwa hiyo kama unatafuta habari za uhakika nakushauri utumie media houses za binafsi, social media na external sources.

Kama serikali yenyewe haioni aibu kudanganya unategemea nini kutoka TBC!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Yana pale hakuna habari wala chochote,pale wamebaki zecomedy tu.
 
TBC ni shirika la serikali na serikali yenyewe ni dhaifu, kwa hiyo hizo ni jitihada za kuuficha udhaifu wao. NAAMINI WATZ wa leo Tupo mbele zaidi ya wanavyodhani wao.
(TBC UKWELI NA UHAKIKA) Haiwezekani kuwa hivyo
 
pole, bado unaangaliaga TBC1 wenzio tulishawachia ccm na wazee wao, mimi huwa na tazama bunge tu. Tangu aondoke tido hapo hakuna kitu, wanaweza sema hakuna mgomo wakati watu wanaendelea kufa, kwa sababu wanaelekezwa cha kutangaza.
 
Asante
pole, bado unaangaliaga tbc1 wenzio tulishawachia ccm na wazee wao, mimi huwa na tazama bunge tu. Tangu aondoke tido hapo hakuna kitu, wanaweza sema hakuna mgomo wakati watu wanaendelea kufa, kwa sababu wanaelekezwa cha kutangaza.
 
sasa hivi waandishi wamezuiwa kuingia MNH, wamekutana Upanga...mgomo ndio kwaaaaaaaaanza unaanza!
 
Tb ccm niwa kupuuzwa! Unaweza kusema kuwa niwa puuzi kwa kuwa niwa dhaifu wa kutoa habari za kweli na uhakika.
 
Back
Top Bottom