TBC wamezima tusione Bunge

Inaniuma sana moyoni mimi na jamaa zangu tunachangia uendeshaji wa hii TV TBC,haki ya Mungu ipo siku.
 
Nadhan hakuna kikao dodoma, star Bunge walikaa sana hewani wakisubiri bila mafanikio
 
ila wanajisumbua tu kwani ukawa wameahidi kuwa hakipiti wala haksomwi kitu du! ml 800 kila jimbo wanazikosa hivihivi
 
Kama Bunge linaendelea huku hawa wahuni wameamua kufanya uhuni wao, natumai kutakuwa na wabunge wa UKAWA ambao watahakikisha wanarekodi hata audio ya yale yanayojiri. Wakiweza kufanya hili na kuweka hadharani hawa wahuni wataumbuka vibaya sana.
 
CCM wanataka kutupiga changa la macho.
Mungu awawaongoze wabunge wa UKAWA kwa kazi mzuri.
 
Ccm wanataka kuimaliza nchi ata hicho kidogo wajukuu zetu wasikute Mungu awabariki ukawa Kwa kukataa ujinga huu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom