TBC Punguzeni Bei ya Vig'amzi kama Voda, Tigo walivyopunguza Internet

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
kwenu TBC , jua kuwa nyinyi mlipewa ruzuku kutu-habarisha juu ya ulimwengu, sasa hii staili ya kuungana na wachina kuifanya TV iwe kibiashara zaidi siyo mbaya, lakini izingatieni hali halisi ya maisha. Mfano ukilipa internet ya Airtel unapewa mb 400 unaweza ku-link sehemu yoyote duniani ukapata habari , ukaisambaza, ukasoma vitu vingi sana, mawasiliano na watu wa dunia mbali mbali live. Mb 400 ni sh. 2500 kwa mwezi, vile vile unaweza kuangalia mpila laivu au tukio lolote.

Nawashauri punguzeni bei ili twende sawa, angalia umeme juu, maji bei juu, wakati serilkali ikiwaomba watu wa mitandao ya simu kupunguza zaidi nyie ndio mnakomaa na vingamuzi , muangalie sana mtakufa kifo kibaya kama TTCL ambao walikomaa na manyaya wakati technologia ya GSM ikiwapita kama wamesimama, wamebaki wanashangaa tu.

Angalizo nimewahi kuwashauri TTCL Mobile zile kadi za internet wazifanye za kawaida, zipatikane kokote na wapunguze bei za vifurushi wao wakogoma , sasa angali watu wana moderm nyingi internet sio dili tena ni popote zinapatikana.

Nyinyi wachina Star time nenda na time wahi biashara maana digital TV zinakuja ziko kama modem unapata internet, TV na video.
 
wewe unajiuliza kushusha bei baada ya kujiuliza kwa nini wahamie dijitali wakati hata analojia haijakubalika kivile..
 
nawatahadhalisha kuwa wakati unakuja wa TV kuwa kama modemu ukiwa na komputa sehemu yoyote unapata TV na watakuja wajanja wana kasi ya ajabu, wao watabaki na hiyo Ving'amuzi kama accessories tu.
 
Badala ya kupunguza wao wana ongeza bei!! by the way all channels wanazoonyesha ni Free to air i dont know why wanachaji?"
 
Wadau utapataje startv au itv ukiwa na startimes king'amuzi nilisikia waweza chakachua. Naomba mwongozo.
 
mgt software- TTCL HAIFI ALOKWAMBIA TTCL INAKUFA AMEKUDANGANYA.(pamoja na hujuma zinazofanywa na makampuni yanayotoa huduma za simu juu ya ttcl wakishirikiana na baadhi ya viongozi wenye hisa ktk makampuni na wengine wako serikalini) ni ndoto kuiua TTCL. WAZALENDO HALISI AMBAO TUNAPATA MKATE WETU TTCL TUTAKUTHIBITISHIA WEWE NA WENGINE WA AINA YAKO KUWA HUU NI URITHI WETU SOTE NA NI LAZIMA VIZAZI VIJAVYO VILE MATUNDA YAKE.HAIFI NG'O
 
Hongera kwa kutetea mkate wako.
 
Ni kweli kabisa mkuu.....MFU HAWEZI KUFA.....
 
mgt software- TTCL HAIFI ALOKWAMBIA TTCL INAKUFA AMEKUDANGANYA.(pamoja na hujuma zinazofanywa na makampuni yanayotoa huduma za simu juu ya ttcl wakishirikiana na baadhi ya viongozi wenye hisa ktk makampuni na wengine wako serikalini) ni ndoto kuiua TTCL. WAZALENDO HALISI AMBAO TUNAPATA MKATE WETU TTCL TUTAKUTHIBITISHIA WEWE NA WENGINE WA AINA YAKO KUWA HUU NI URITHI WETU SOTE NA NI LAZIMA VIZAZI VIJAVYO VILE MATUNDA YAKE.HAIFI NG'O
Nadhani unachosema ni kweli toka moyoni mwako na wengi tunataka iwe hivo lakini hatuoni juhudi zozote za kuinuka kitandani. Tulitegemea TTCL iwe juu kuliko Airtel, Vodacom nk kwani walikuwepo tangu zamani. Pole TZ, pole TTCL.
 
king'amuzi cha nini wewe?mimi cha kwangu nimeshapack kwenye box nimetangaza mara nyingi nakodisha kifurushi cha kuanzia nalipa hakuna mteja,nimejiunga CABLE TV,STARTIMES ni utapeli mwingine nchi hii,watu wengi tu wamepiga chini king'amuzi sijui kinaitwa!!
 
Back
Top Bottom