ITV walianza vizuri, enzi za akina Mikidadi Mahamoud na Chaaz Hilary, walikuwa wanaonyesha hadi World Cup! Pia Tido wa TBC alikuwa mbunifu, AFCON isingepita gizani kama hivi sasa!
Hata DSTV wanaonyesha kwa kupitia SS4 ambayo kuipata, ni lazima ulipe premium....kudaaadek! Wakati miaka ya nyuma walikuwa wanarusha kupitia SS9, ambayo subscription fee yake ni ndogo!! Ila kwakuwa hawana mpinzani mwaka huu, wanamkoma nyani GILADI.
Hakuna kiongozi wala mfanyabiashara anayewafikiria watanzania...kila mtu anawaza tumbo lake na la mwanawe!!
Katika nchi inayopenda Soka kama Tanzania, vituo vikubwa kama ITV na TBC kutokuonyesha AFCON 2012 ni USALITI, seriously!!