TBC (Other TV station) Hata AFCON 2012 LIVE tumeshindwa!!!!

ITV walianza vizuri, enzi za akina Mikidadi Mahamoud na Chaaz Hilary, walikuwa wanaonyesha hadi World Cup! Pia Tido wa TBC alikuwa mbunifu, AFCON isingepita gizani kama hivi sasa!

Hata DSTV wanaonyesha kwa kupitia SS4 ambayo kuipata, ni lazima ulipe premium....kudaaadek! Wakati miaka ya nyuma walikuwa wanarusha kupitia SS9, ambayo subscription fee yake ni ndogo!! Ila kwakuwa hawana mpinzani mwaka huu, wanamkoma nyani GILADI.

Hakuna kiongozi wala mfanyabiashara anayewafikiria watanzania...kila mtu anawaza tumbo lake na la mwanawe!!

Katika nchi inayopenda Soka kama Tanzania, vituo vikubwa kama ITV na TBC kutokuonyesha AFCON 2012 ni USALITI, seriously!!
 
poeleni sana, kwa mlio umangani mnaopata cannal digital na dtv cable mechi zote zinapatikana live eurosport for free
sasa iweje hapo bongo hata TBC WASHINDWE KUONYESHA? kweli tido kahama na TBC yake.
 
Nakuhunga mkono, siyo lazima TBC kuonyesha kila mashindano ya kabumbu, kumbuka nao wanalipia kurusha mashindano hayo. Mbona kuna TV stations chungu nzima Tanzania why pick on TBC!

thats why katika topit tumeweka 'other tv stations' kwenye brakets, nikimaanisha vituo vyote vya tv,

TBC wao ndio wanaouwezo zaidi kama chombo cha serikali kwan wao favour nyingi, pia TBC ni sawa na KBC pia UBC financially so hawakuwa na sababu za kudelay kutuonyesha live game hizi
 
poeleni sana, kwa mlio umangani mnaopata cannal digital na dtv cable mechi zote zinapatikana live eurosport for free
sasa iweje hapo bongo hata TBC WASHINDWE KUONYESHA? kweli tido kahama na TBC yake.

nakubaliana nawe kweli TIDO kahama na TBC !!!!
 
My Friend hivi Os ya ubongo wako inafanya kweli au imecolapse? hivi unaposikia Ugiriki imefirisika wewe huwa unapata tafsiri ipi? kwamba ni maigizo kama mzee Majuto?
Unajuwa sherehe za miaka 50 ya Tanganyika zimetafuna shilling ngapi? shirikisha ubongo wako kwanza kabla ya kupost kitu hapa JF.
Hivi wewe unafahamu kwamba mpaka mwezi December 2011 nukusi ya bajeti ilifikia shilling Billion 800?

duuu sory nawasi wasi watu wengine hata hamkupitia shule so siwezi bishana na wewe!! pole.
 
Nakuhunga mkono, siyo lazima TBC kuonyesha kila mashindano ya kabumbu, kumbuka nao wanalipia kurusha mashindano hayo. Mbona kuna TV stations chungu nzima Tanzania why pick on TBC!

Naunga mkono mawazo yako kwani TBC ina mambo mengi ya kutujuza au kutukumbusha si bora ingerudia jinsi prince alivyokuwa akila msosi na kikwete ikulu, au hotuba Kikwete aliyowajibu TUCTA na watoto waache viherehere vyao
 
Sioni point kwenye hii thredi. Kila mtu ana-scale of preference yake. Mbona wakati mashindano ya rugby ya duniani hayakuonyeshwa, hamkuja kulalamika. Mpira ni kitu gani? Mimi nikitaka zile ngono za chanel 'e' zionyeshwe TBC kwasababu nalipa kodi, zitaonyeshwa? Vp wale wanaopenda Magic Afrika? Nao waandamane? Acheni upendeleo wa kijinga.
 
ni jambo la Ajabu kuona nchi kubwa kama tanzania ambayo ina TV station zaidi ya 40, kushindwa kuonyesha Mashindano ya kombe la mataifa ya africa live!!!!

tena nchi hii yenye shirika kubwa la habari kamaTBC, kushindwa kupata right. Ama kweli ninaanza kuamini TIDO MUHANDO alikuwa anafanya kazi yake ipasavyo

leo hii watanzania wanaangalia AFCON 2012 kupitia either Supersport (ya south africa), UBC (ya uganda) na KBC (ya kenya)

mbona KBC, UBC wanaonyesha kwanini nyie TBC hamuonye
 
Ukitaka upendwe bongo uwe mnafiki mnafiki hivi kazini na majungumajungu ukichapa kazi hupendwi!!!! Utalinganisha TIDO na MSHANA? hapo ni sawa na kifo na usingizi!!! Tido ana exposure kubwa sana ya kuendesha shirika la utangazaji sio huyu MSHANA kila kitu anatonga na bajeti kama anavyoishi kwake ndio maana TBC wamefulia ckuhizi!!! kama ni hali mbovu ya uchumi haikuanza leo hiii!!!! TBC badilikeni kazi kurudia vipindi tuuuu
 
Sioni point kwenye hii thredi. Kila mtu ana-scale of preference yake. Mbona wakati mashindano ya rugby ya duniani hayakuonyeshwa, hamkuja kulalamika. Mpira ni kitu gani? Mimi nikitaka zile ngono za chanel 'e' zionyeshwe TBC kwasababu nalipa kodi, zitaonyeshwa? Vp wale wanaopenda Magic Afrika? Nao waandamane? Acheni upendeleo wa kijinga.

teh teh tumekuelewa umeshinda wewe!!!
 
Sioni point kwenye hii thredi. Kila mtu ana-scale of preference yake. Mbona wakati mashindano ya rugby ya duniani hayakuonyeshwa, hamkuja kulalamika. Mpira ni kitu gani? Mimi nikitaka zile ngono za chanel 'e' zionyeshwe TBC kwasababu nalipa kodi, zitaonyeshwa? Vp wale wanaopenda Magic Afrika? Nao waandamane? Acheni upendeleo wa kijinga.

duh! Kaka kwa ujambazi unatisha. Yaani unajiibia hadi akili zako mwenyewe!
 
Back
Top Bottom