TBC (Other TV station) Hata AFCON 2012 LIVE tumeshindwa!!!!

gango2

JF-Expert Member
Aug 31, 2011
1,941
2,251
ni jambo la Ajabu kuona nchi kubwa kama tanzania ambayo ina TV station zaidi ya 40, kushindwa kuonyesha Mashindano ya kombe la mataifa ya africa live!!!!

tena nchi hii yenye shirika kubwa la habari kamaTBC, kushindwa kupata right. Ama kweli ninaanza kuamini TIDO MUHANDO alikuwa anafanya kazi yake ipasavyo

leo hii watanzania wanaangalia AFCON 2012 kupitia either Supersport (ya south africa), UBC (ya uganda) na KBC (ya kenya)

mbona KBC, UBC wanaonyesha kwanini nyie TBC hamuonyeshi!!! au ndo ufisadi huo?????
 
Nchi yetu huwa haihitaji watendaji wa KWELI, tunapenda sana watendaji wa ubabaishaji ndio furaha za wakubwa wetu na wapambe wao. Hatukosi visongizio.
 
for sure, yaan eti kama huna kingamuzi huangalii mashindano hayo...jamani jamani!!!!!
 
Ni priorities tu. Labda kwao mpira siyo priority. Tukumbuke hawa watu wana researchers na wameshaidentify needs za watazamaji wake. Tukumbuke kwa sasa Shirika linaendeshwa kibiashara, labda wameona mpira haulipi.
Hii pia unaweza kuiona kwa other local chanels ambazo zinaendeshwa kibiashara, kama nazo zimeshindwa kuonyesha, ujue kweli kuonyesha mpira ni biashara kichaa/
 
Kama walitazama needs za watazamaji, wamechemka! Kama ni priority, kuna siku mechi za kombe la dunia zitafanyika Tanzania na watu wa mikoani hatutaziona! Shirika la taifa pamoja na kufikiria biashara, hujari pia needs za kweli za watu, Kenya, Uganda wameweza sisi na "special needs and priorities! Hizo priorities tumezijua leo kombe la Mataifa huru, mbona siku zote hatuna priorities katika mipango yetu? Wabongo bana!
 
Umefanya need assesment? Ni watanzania wangapi wanahitaji huo mpira?
Mechi za Kombe la Dunia kufanyikia tanzania ni ndoto...
 
Ni priorities tu. Labda kwao mpira siyo priority. Tukumbuke hawa watu wana researchers na wameshaidentify needs za watazamaji wake. Tukumbuke kwa sasa Shirika linaendeshwa kibiashara, labda wameona mpira haulipi.
Hii pia unaweza kuiona kwa other local chanels ambazo zinaendeshwa kibiashara, kama nazo zimeshindwa kuonyesha, ujue kweli kuonyesha mpira ni biashara kichaa/
Hivi kwani kuna ulazima kwa wewe kuchangia kila post hata kama topic inayozungumziwa huna ufahamu nayo? Hata Rais wa nchi nina uhakika hajafurahishwa na upumbavu huu wa kushindwa kupewa haki ya kuonesha mashindano haya.
Na ukiangalia kwa jicho la tatu unaweza kukuta hii ni lobby imefanyika ili kampuni zenye madecorder wapate kufanya Biashara kubwa. Freemassons @ work.
 
Ni priorities tu. Labda kwao mpira siyo priority. Tukumbuke hawa watu wana researchers na wameshaidentify needs za watazamaji wake. Tukumbuke kwa sasa Shirika linaendeshwa kibiashara, labda wameona mpira haulipi.
Hii pia unaweza kuiona kwa other local chanels ambazo zinaendeshwa kibiashara, kama nazo zimeshindwa kuonyesha, ujue kweli kuonyesha mpira ni biashara kichaa/

hakuna kitu kama hicho, utendaji kazi wa namna hii ni uzembe, am sure leo hii angekuwepo mtu kama TIDO muhando TBC sizani kama mashindano haya yangekuwa ndoto kwa watanzania ambao leo wanaishia kuyasikiliza redioni wakati nchi zingine wanaangalia live.
 
Serikali Wameshindwa kulipa mishahara ya wafanyakazi itaweza kuipa pesa TBC kulipia kuonyesha AFCON kweli?Uliza wanaosuma vyuo ya CO na AMO vya serikali wameshindwa kurudi vyuoni maana serikali haijavipa pesa zakuviendesha..
 
kaka serikali haiishiwi hela kama unavyofikiri wewe!!!! ujue kunajambo hapo either watendaji pande hizo wazembe, pia kumbuka kila wizara inabudget yake yawezekana budget ya huko imetumiwa ndivyo sivyo.

tournaments kama hizi are so important kujua wenzetu wamefikia wapi na sisi tufanye nini!!!
 
Tunataka kukuza Soka letu ,tunalalamika kiwango duni wakati tunashindwa kuona umuhimu wa kuangalia kama sehemu ya kujifunza.

TBC wamemfitini TIDO aliekua Mchapakazi wa kweli. Tungekua tunaangalia AFCON 2012.
 
kaka serikali haiishiwi hela kama unavyofikiri wewe!!!! ujue kunajambo hapo either watendaji pande hizo wazembe, pia kumbuka kila wizara inabudget yake yawezekana budget ya huko imetumiwa ndivyo sivyo.

tournaments kama hizi are so important kujua wenzetu wamefikia wapi na sisi tufanye nini!!!
My Friend hivi Os ya ubongo wako inafanya kweli au imecolapse? hivi unaposikia Ugiriki imefirisika wewe huwa unapata tafsiri ipi? kwamba ni maigizo kama mzee Majuto?
Unajuwa sherehe za miaka 50 ya Tanganyika zimetafuna shilling ngapi? shirikisha ubongo wako kwanza kabla ya kupost kitu hapa JF.
Hivi wewe unafahamu kwamba mpaka mwezi December 2011 nukusi ya bajeti ilifikia shilling Billion 800?
 
Ni priorities tu. Labda kwao mpira siyo priority. Tukumbuke hawa watu wana researchers na wameshaidentify needs za watazamaji wake. Tukumbuke kwa sasa Shirika linaendeshwa kibiashara, labda wameona mpira haulipi.
Hii pia unaweza kuiona kwa other local chanels ambazo zinaendeshwa kibiashara, kama nazo zimeshindwa kuonyesha, ujue kweli kuonyesha mpira ni biashara kichaa/

Nakuhunga mkono, siyo lazima TBC kuonyesha kila mashindano ya kabumbu, kumbuka nao wanalipia kurusha mashindano hayo. Mbona kuna TV stations chungu nzima Tanzania why pick on TBC!
 
Back
Top Bottom