TBC One na viti vya Garden Studio

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,766
894
Wadau wa JF.
Hivi wakuu wa TBC wamefanya makusudi au ndiyo ubunifu mpya.

Kwenye kipindi cha Jambo asubuhi watangazaji wake wanatangaza huku wamekaa kwenye viti vya garden wakati wapo studio.
 
Hata mimi nimeviona hivyo viti mkubwa sijui vile vya zamani vimeenda kwa fundi?

Halafu siku hizi wanachemsha sana iwe jambo au habari we chunguza unakuta mtangazaji anagandishwa anasubiri tangazo hadi anaanza kutahayari sura inakuwa ndogo hehe
 
Mkuu, kumbe na wewe umeona juzi walimuweka mzee mmoja mgeni kutangaza jambo kila muda alikuwa anakwama! Watakuwa wamempiga chini sijamuona tena.
 
Mkuu, kumbe na wewe umeona juzi walimuweka mzee mmoja mgeni kutangaza jambo kila muda alikuwa anakwama! Watakuwa wamempiga chini sijamuona tena.

haha yule babu na mimi nilimuona aisee sijui hata walimtoa wapi halafu tatizo pia wale wageni wa clearing & forwarding walichelewa kufika wakampa jamaa mtihani wa kuanza kuuza chai ili muda upite.

Kwa ufupi hawako serious kabisa
 
Eti ndio Television ya Taifa yaani imekaa kimajungujungu, hawana ubunifu tena, nadhani washaanza kuiba vifaa, maana alivyokuwa Tido Mhando, TBC iliboreshwa kila sekta, siku hizi hakuna jipya, Full kugandishwa na mchelemchele kibao.
 
Back
Top Bottom