TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

Lete updates ingawa amnot shocked ni kitu nilichokuwa nakitegemea kabisa kuwa asingeachwa hivi hivi
 
NI kweli na inavyoelekea haikuwa imepangwa, ni mazoea. Kwani alikwenda kumvaa source huyo akiwa na jamaa fulani ambao aliwatambulisha kuwa ni usalama wa taifa, wakati siyo kweli, ni wajanja tu wa mjini. Naendelea kufuatilia hapa, nimemuona Muro, ngoja nizungumze naye
Safi Kamanda; pata picha, zikikushinda kuweka JF wewe nitumie via support@jamiiforums.com nami nitakusaidia kuondoa traces kama hutaki kuacha traces kisha nitaweka hapa.

Inasikitisha kama Jerry nae yupo hivyo, basi itakuwa ngumu sana kupambana na rushwa. 10mil?
 
Wataalamu wameshaimuvuzisha kutoka kule kuja huku kwani imekaa kisiasa zaidi au sio Max?
Am not that much sure mkuu RayB, huenda Mods wameona hapa imesha-catch up. Baadae naamini itatakiwa kwenda panapohusika.
 
Alipokea rushwa ili afanye au asifanye nini? Tuwekeni wazi kwa hili pls!
 
I never thought Jerry anaweza kuwa dhaifu hivyo. Na bado siamini kama sio mpango wa kumchafulia jina
.
Hata mimi siamini, ingawa Jerry pesa anaijua, na kuitafuta anaweza, ili sio kihivyo.

Baada ya ila kazi nzuri iliyoifanya kwa traffic, alipaswa kushauri kuwa mwangalifu zaidi maana ni target.

Kwa waandishi makini, ziko kona nyingi za kubabatiza milioni 10. Wako masource wa pesa za kihivyo, lakini sio kihivyo, na huyo sio Jerry yule tumfahamuye, iko namna, na kuna kitu hapo.

Baada ya kutemewa mate na mzungu, mimi binafsi, nilimtafuta Jerry, nikamuona, tukazungumza na nikamshauri hili la kutemewa mate ni deal kubwa, akikubali watu waingie kazini, atavuta zaidi ya Shilingi Milioni 100!.

Jerry hakuonesha interest kwenye hii genuine deal ya kuvuta mahela, leo ninaposikia eti ameomba rushwa ya shilingi milioni 10, toka kwa masikini mtumishi wa umma, lazima kwanza sitaamini, pila nitashangaa sana!.
 
Hii imekaa kama 'revenge'. Nilijua tu wale police aliowaumbua hawatamchelewesha.

Nimeamini kweli - kama unaishi kwenye nyumba ya vioo, usianzishe vita ya mawe!
 
Wabongo NUKSI! (Kama kweli kakamatwa kwa rushwa)
Yaani mmeumiza vichwa weeee mkaona adhabu yake ni kumkamatisha Jerry mfichuaji?
I hope ni katika kumkomoa tu ndio mkaamua kumtegea.
Kwani jerry hana njaa?jerry kama binadamu mwingine yeyote ana udhaifu kwa maana hiyo basi naye kadaka MLUNGULA.
 
Hii imekaa kama 'revenge'. Nilijua tu wale police aliowaumbua hawatamchelewesha.

Nimeamini kweli - kama unaishi kwenye nyumba ya vioo, usianzishe vita ya mawe!

Duh, sinyolita! I liked the red coloured. Naona jamaa alijisahau kabisa. Yaani niliposikia amekamatwa kwanza nilicheka halafu nikaanza kuhuzunika. Kwa sababu nilijua piga-ua watamfanyia tu. Sasa yeye alijua nyumba yake haihimili mawe, akaanza kurusha mawe kwa majirani? Hata siitamani hii story manake sijui hiyo vita ya ufisadi inakoelekea.
 
hivi Jerry amesoma chuo gani? uandishi ili tujue kama ni mwana taalum, maadili, etc. Au kavamia fani, kawa maarufu na sasa.........
Alafu mwenye kujua mwenendo wake atueleze, make TV journalists wengi, wanaokotaokota kama kuku wa kienyeji, yaani habari zao nyingi ni za ku promote ili wapewe kitu kidogo
 
inawezekana ni kweli watu wanenchezea dili ila nina uhakika akukubali kuchukua zaidi
ya kutaka kumchafulia jina baada ya kuwaaibisha matraffic;jerry waechokoza moto kaza buti ukimalizana nao ni pm nikupe picha zingine za awa maharamia wakichukua pesa pale tengeru wanshnchefua wewe tu uzikuze;;;swala la rushwa si la mtu mmoja jamani mkija kuchangia lazima tujue kuwa tuko kwenye mapambano;huyu bwana ameonyesha uwazi halizi uchafu wanaotufanyia maaskari;labda niwasaidie mimi nilishawahi kumuwasha mshenzi mmoja ofisini akiwa anachukua rushwa ;baya alikuwa anaomba tunachopata akienda kwa mabosi anaropoka wezi;;;wanaume wakaingia kazini ndani ya moovie live akaegemea ....alivyo mjinga akamtengenezea mmoja wetu dili ati atinge chooo cha kike jamaa nae akanda mchustua mtu wa pcb gafla wakaja fresh na wale jamaa zao ;na yeye jamaa zake wakaja akuziacha alipokea matokeo yake jamaa ana kazi leo hii;;wakati polisi wakijitayarisha kumchukua mwenzetu pcb nao wakafa na yule alietoa alipobanwa akadai amepewa hiyo dili na mtu fulani..................,bosi we patamu jerry kaza buti lazima aibu iwakute JF WATAKUWA MASHAHIDI
 
Kama kala kweli au kaomba mil. 10, ni vizuri aingie kwenye kikaango alichowaweka wale askari waliokuwa wanakula elfu 5 au kumi. Kumbe alikuwa anawakaanga wala rushwa wenzie yeye akitaraji shimo hilo analowachimbia wenzie hataingia??

Wala si mtego! Kama ni kweli basi na yeye ni mla rushwa na amepata anachostahili! Isije yeye alikuwa anafanya tu kupata MISIFA kumbe na yeye ndo zake.
 
wanachokifanya ni kum neutralize........
amezidi masifa.

hii ndo bongoland.......
 
Mkifuatilia mambo ya "posho mbili" ndio mtajua "upambanaji" wa TZ ukoje! BTW huyu dogo alipokea hivyo vijisenti ili afanye au asifanye nini jamani? Msikwepe swali hili muhimu, pls!
 
Pasco na waandishi wengine,

Hebu jaribuni kufuatilia na kupata habari za uhakika. Kila mtu mwenye akili na busara, narudia tena akili na busara, inabidi kuwa makini sana kutoa suluhisho kwenye hili swala. Kuwahukumu POLISI/TAKURURU au Murro itakuwa ni makosa sana kwa sasa. Ngoja tupate maelezo ya pande zote mbili ndiyo ukweli utajulikana.

Kuna wengine wataaibika humu ndani kwa hukumu zao ambazo hata ukweli halisi haujajulikana. Mie ngoja nisubiri kwanza maelezo ya Murro/POLISI.
 
Mi nahisi wakati akiwa anatoa wale mapolisi hadharani angejiuliza yyeeye msafi kiasi gani
hakuna alie perfect;si jf waala popote ndio maana sehemu zingine za kuwaumiza watu atukimbilii kutoa mawazo;
embu jiulizeni jamani familia 15 zimeumia;kila familia ina wattoto min 2 watoto 30 ada analipa nani
upande wa ndoa wake 15
imagine madada zetu sikuhizi bila kuwa na kazi wengi wanakimbia imagine ndoa ngapi zimeathirika na jerry???

UPANDE WA NYUMBA NDOGO
imagine nani atamfwata mwanaume asie na pesa ??
watoto wangapi walikuwa wakitunzwa na hao mapolisi kutokanana na
nyumba ndogo???ni familia ngapi zimeathirika kwa upande nyumba ndogo

he deserve
segere lazima alicheze !!!!!!!!!!
 
vyanzo vyetu jijini dar, vimethiitisha kwamba, mtangazaji wa tbc jerry muro (pichani) anashikiliwa na polisi katika kituo cha kati jijini dar kwa kile kinachodaiwa kunaswa katika mtego wa kupokea rushwa toka kwa mwananchi mmoja wa jijini.


medani za kipolisi zimethibitisha kwamba jerry muro, ambaye ni mtuzwa wa mwandishi bora wa tv kwa mwaka 2009, amekamatwa leo jijini akipokea shilingi milioni 10 kabla mtego aliowekewa haujafyatuka.


kamanda wa polisi wa kanda maalumu ya dar afande selemani kova anatarajiwa kutoa taarifa kamili wakati wowote kuanzia sasa na globu ya jamii itawaletea pindi habari mpya zitapoingia.
 
Back
Top Bottom