TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

Kwani ukiwa Central Police si bado uko salama jamani? Si hawa jamaa wanalinda "usalama wa raia na mali zao?"

Correction please! Wanatakiwa kulinda usalama wa raia na mail zao sio wana-nasema hivyo kutokana na kuwa mara nyingi si wanachokifanya. Waulize waliokwishafika pale kwa makosa vipondo vinaanzia hapo labda Jerry atanusurika kwa kuwa ni public eye/concern

Jamani full taarifa vipi mlio karibu na vyanzo vya habari? Naweza kusema mpaka sasa tunajadili habari ya kusadikika til when proved otherwise
 
Shukran Kamanda,je mazungumzo yenu yamefikia wapi?ne updates?

Namuona hapa bado anatoka ofisi moja kwenda ofisi nyingine na akiwa ameshika mifuko yake ya mihela, ni mifuko ya A4 mitatu. Amevaa suti yake ya kupendeza na habari zinaeleza kuwa Kamanda Suleiman Kova ndiyo anasubiriwa kuja kuwaeleza waandishi wa habari ambao wamejazana hapa.
Tuendelee kuvuta subira, Kova akingia tu nawaletea live, kila atakalokuwa akizungumza nawaletea kama lilivyo. Aksanteni
 
naamini kupokea rushwa ni kosa la jinai kama makosa mengine,na kwahivyo kusema kwamba waachiwe waendelee kufanya wanayofanya kwasababu kadhaa wa kadha,kulinifanya nimwulize swali kama ni sahihi kutumia sababu hizo

ULIMSAIDIAJE JERRY ALIPOWAONYESHA TRAFFIC WALA RUSHWA AKIWA ITV
UNAJUA KILICHOENDELEA??UKIWA KAMA MPINGA RUSHWA NCHINI UMEFANYA NINI KUZUIA RUSHWA ???UKIJIULIZA HAYA MWANGALIE NA BOSI WAKO ANACHOFANYA PALE JUU UTAJUA WOTE UCHAFU MTUPU!!!!!WE MSHAURI AENDELEE KUTUSAIDIA KUTAFUTA WALA RUSHWA IPUNGUE NA SI IISHE....RUSHWA AISHI ATA SIKU MOJA !!!!

Pointi hapa si kuipunguza ama kuimaliza rushwa....Pointi hapa ni wewe kuimply kuwa rushwa iachwe iendelee kwasababu waathirika ni wengi kama wala rushwa wakisghulikiwa,haueleweki...At the same time unadai Jerry naye aende segerea kwasababu ya rushwa,yani inawezekana labda unachangia hapa siyo kwasababu inahitajika,bali kwasababu uko mbele ya keyboard na vidole vinakuwasha.
Halafu hapo awali ukadai kuwa umewarekodi traffic wa hapo Arusha na unataka kumpa huyo Muro hiyo recording,hauko stable kabisa.
 
Bado STEVEN CHUWA

UMEONA MWENZAKO KADANGANYIKA WE ENDELEA KUCHUKUA PESA
KIJINGA WABAYA WAMEONGEZEKA MSIWAMINI TENA!!!
 
Namuona hapa bado anatoka ofisi moja kwenda ofisi nyingine na akiwa ameshika mifuko yake ya mihela, ni mifuko ya A4 mitatu. Amevaa suti yake ya kupendeza na habari zinaeleza kuwa Kamanda Suleiman Kova ndiyo anasubiriwa kuja kuwaeleza waandishi wa habari ambao wamejazana hapa.
Tuendelee kuvuta subira, Kova akingia tu nawaletea live, kila atakalokuwa akizungumza nawaletea kama lilivyo. Aksanteni

Shukran Kamanda,je ulipata nafasi ya kuzungumza naye kama ulivyosema hapo awali?And if so,mazungumzo yalikwendaje?
Thanks for updates.
 
Namuona hapa bado anatoka ofisi moja kwenda ofisi nyingine na akiwa ameshika mifuko yake ya mihela, ni mifuko ya A4 mitatu. Amevaa suti yake ya kupendeza na habari zinaeleza kuwa Kamanda Suleiman Kova ndiyo anasubiriwa kuja kuwaeleza waandishi wa habari ambao wamejazana hapa.
Tuendelee kuvuta subira, Kova akingia tu nawaletea live, kila atakalokuwa akizungumza nawaletea kama lilivyo. Aksanteni

Hizo bahasha za A4 ni transparent kiasi hicho mpaka hela zinaonekana? Kama ndo hivyo basi jamaa kwishneeeeee
 
segerea

VS

segere lazima alicheze !!!!!!!!

UNAJUA TOFAUTI YA SEGERE NA SEGEREA??
REKEBISHA NENO LAKO KABLA YA KUENDELEA KUJIBU

jmushi1
jmushi1 Is Stronger n' Higher
JF Premium Member
 
hivi Jerry amesoma chuo gani? uandishi ili tujue kama ni mwana taalum, maadili, etc. Au kavamia fani, kawa maarufu na sasa.........
Alafu mwenye kujua mwenendo wake atueleze, make TV journalists wengi, wanaokotaokota kama kuku wa kienyeji, yaani habari zao nyingi ni za ku promote ili wapewe kitu kidogo
.
RUTAJUMBUKIRWA, Jerry ni product ya UDSM 1st Degree akafanya post graduate ya mambo ya media nje ya nchi, hivyo ni mwana taaluma msomi, no doubt, na ni mchapakazi hodari.

Kitaaluma alianza na TBC wakati huo TVT, ITV wakaruka dau, akahamia ITV, walipomletea zengwe, akarudi home na kupokelewa kama mwana mpotevu kwa dau kubwa.

Personal ni social, mtu wa watu mwenendo mzuri.

Ila utangazaji wowote, zaidi ya elimu na fani, ni kipaji, hivyo ili kuwa mtangazaji mzuri, sio lazima uwe umesoma sana. Watangazaji wengi wazuri wa zamani enzi zile za RTD, ni ma form four leavers ambao hawakuwa na sifa za kuendelea form five, lakini wamefanya kazi nzuri na wengi wakajiendeleza wengine mpaka chuo kikuu.

Miaka hiyo ilikuja ingia timu ya vijana wadogo wasomi mahiri na masters za journalism toka nchini za Mashariki, Urusi, Bulgaria, Cuba etc, ikatokea hawawezi kazi pamoja shule zao nzuri, wengi wameishia kwenye green pastures za PR ambazo cheti kinamater zaidi kuliko kipaji.

Utekelezaji wa maadili ya uandishi unategemea personal morals na situation husika. Mimi binafsi, japo siungi mkono rushwa wala kuendekeza njaa, naunga mkono kwa asilimia 100% those little brown envelopes ambazo waandishi hupewa, hizi sio rushwa ni facilitation tuu ili vijana wafanye kazi zao vizuri na wala sio motisha maana they are too little.

Wako waandishi wasomi wazuri na ndio wasimamizi wa maadili, wengine wanasolicit rushwa kubwa kwa blackmail, na wengine wananunuliwa na wenye fedha zao, kwa lile jukwaa la wahariri liko wapi siku hizi baada ya kilichomkuta Sakina?.

Naungana na hoja za kutohukumu wote kwa makosa ya wachache, na suala hili la Jerry, tusihukumu kwanza, tusubiri facts zaidi.
 
Kova ndiyo kaingia hapa, namsubiri, atoke, hivi sasa anazungumza na Jerry Muro huko. Akija tu na kuanza kuzungumza naleta live kama nilivyosema
 
Bado STEVEN CHUWA

UMEONA MWENZAKO KADANGANYIKA WE ENDELEA KUCHUKUA PESA
KIJINGA WABAYA WAMEONGEZEKA MSIWAMINI TENA!!!
.
Usimwingize Stephen Chuwa kwenye anga hizi utachuma dhambi bure. Yaani Chuwa asingeingia fani ya habari, jamaa alikuwa awe padiri.
 
Kwa wale wenye vyanzo vya habari hii, Buchanan ameuliza swali moja muhimu sana hapa halijajibiwa bado, kisa kizima ni kipi? Kwanini alikuwa apokee rushwa? Ilikuwa ni kumziba mdomo kwa habari gani?

Unweza kukuta hata hao waliotoa rushwa nao wakawa hatiano ati!
 
Kamanda ukipata habari kamili tueleze ni juu ya nn?
 
Mkifuatilia mambo ya "posho mbili" ndio mtajua "upambanaji" wa TZ ukoje! BTW huyu dogo alipokea hivyo vijisenti ili afanye au asifanye nini jamani? Msikwepe swali hili muhimu, pls!

Mkuu hili ni swali muhimu sana kabla ya kukimbilia kwenye conclusion. Maana mtu anaweza mwita mtu sehemu na kusema nakupatia zawadi ya mill 10 without any "quid pro quo relation", yaani kuhitaji unfair advantage in return hiyo huwezi sema ni rushwa
 
Na hii nimeiona kwa kwenye globu ya jamii.

MTANGAZAJI WA TBC JERRY MURO (PICHANI) ANASHIKILIWA NA POLISI KATIKA KITUO CHA KATI JIJINI DAR KWA KILE KINACHODAIWA KUNASWA KATIKA MTEGO WA KUPOKEA RUSHWA TOKA KWA MWANANCHI MMOJA WA JIJINI.

MEDANI ZA KIPOLISI ZIMETHIBITISHA KWAMBA JERRY MURO, AMBAYE NI MTUZWA WA MWANDISHI BORA WA TV KWA MWAKA 2009, AMEKAMATWA LEO JIJINI AKIPOKEA SHILINGI MILIONI 10 KABLA MTEGO ALIOWEKEWA HAUJAFYATUKA.

KAMANDA WA POLISI WA KANDA MAALUMU YA DAR AFANDE SELEMANI KOVA ANATARAJIWA KUTOA TAARIFA KAMILI WAKATI WOWOTE KUANZIA SASA NA GLOBU YA JAMII ITAWALETEA PINDI HABARI MPYA ZITAPOINGIA.
 
Hii kiboko! Tunataka kuelwa ni juu ya nn? Na kama ulikuwa mtego katega nabi na kwa nn.
Propaganda za kuzimana hazifai
Shida hapa maelezo ya mtego!
 
hivi Jerry amesoma chuo gani? uandishi ili tujue kama ni mwana taalum, maadili, etc. Au kavamia fani, kawa maarufu na sasa.........
Alafu mwenye kujua mwenendo wake atueleze, make TV journalists wengi, wanaokotaokota kama kuku wa kienyeji, yaani habari zao nyingi ni za ku promote ili wapewe kitu kidogo

UDSM-Political science na Sociology graduated 2006 na post graduate ya habari nje ya nchi.

jf university

Hizi bangi hizi unajibujibu tuuu.

Ukimwachia mtu ambaye mawazo yake yako "corrupted" atoe mawazo yake unategemea nini?

Ahha!! Kamanda yakweli hayo mbona Jerry nimempigia anasema yupo salama? Wewe uko maeneo gani kwani hata mimi nipo hapa Kwa Mkumbo nimetoka sasa Hivi naenda kumwona Mkony? Weka bayana ametoka Kwa RCO amekwenda wapi????

Sasa tuamini lipi na mbona swali la Buchanani kamanda hajibu??
 
Mkuu hili ni swali muhimu sana kabla ya kukimbilia kwenye conclusion. Maana mtu anaweza mwita mtu sehemu na kusema nakupatia zawadi ya mill 10 without any "quid pro quo relation", yaani kuhitaji unfair advantage in return hiyo huwezi sema ni rushwa

Mkuu,

Hilo swali hakuna mtu anataka kulijibu.......! ni muhimu tukapewa mkasa mzima wa hii issue kabla ya kujump into conclusion.......!
 
Back
Top Bottom