TB JOSHUA: Kuna Rais East Africa atatekwa na Club kulipuliwa

huyu jamaa alitabiri 2015 kuwa Manywele meupe ndo atakuwa Raisi wa nchi yetu, mi nasubiria hapo tu nijionee kama ni mkweli ama la. Alitamka hayo mara baada ya manywele kwenda kuhiji huko mwaka juzi mwanzoni.
 
Mkuu ni kuhakikishie tu Mungu mara nyingi akituma au kutoa Utabiri kupitia Mtu habahatishi wala hauji nusunusu anautoa kamili na kwa Uhakika ilikuyaepusha mabaya baada ya kutimizwa kwa takwa au jambo analotaka Mungu hatoi utabiri kwa kutisha watu kiujumla jumla tu nikupe mfano mmoja kwa kutumia Biblia japo ipo Mingi

SOMA YEREMIA 26:1-20 ila kwa Ufupi hapa na kupa mstari wa 12 hadi wa 13 kwa rejea yako uone tofauti ya utabiri kama agizo la Mungu na Utabiri kama hadakadabra;

NDIPO YEREMIA AKAWAAMBIA WAKUU WOTE NA WATU WOTE ,AKISEMA,BWANA NDIYE ALIYENITUMA KUTABIRI JUU YA NYUMBA HII,NA JUU YA MJI HUU,MANENO HAYO YOTE MLIYOYASIKIA BASI SASA TENGENEZENI NJIA ZENU,NA MATENDO YENU MKAISIKILIZE SAUTI YA BWANA MUNGU WENU;NAYE BWANA ATAYAGHAIRI MABAYA ALIYONENA JUU YENU.

Utaona wazi utabiri huu ulimlenga sehemu mahususi,mtu na sehemu husika ikiwa bayana na sababu na nia ya Mungu ya kuwaepusha na hatari iliyowakabili...kwa hiyo tusibeze ila kila neno la Mungu lipimwe na kuthibitishwa na andiko.
 
Si mimi ni utabiri wa TB Joshua leo, ameonyeshwa rais mmoja Africa atatekwa na ameonyeshwa watu wakiwa club wanacheza then wanalipukiwa na nchi iyo ni jirani na Kenya, Angalizo, amesema siyo kenya tena,je itakuwa nchi gani?

Misa ya leo jumapili ndo kasema, na amesema ataendelea kuomba ili jumatano na alhamisi ijayo aonyeshwe ni rais gani na nchi gani.

VIDEO:

Jamani tuombe sana isiwe tanzania

Mbona imeshatokea tayari. Si Kikwete yuko Uingereza anasema kikazi lakini harudi Bongo.
 
Last edited by a moderator:
Hata wewe ukiambiwa HABARI NZURI ITAKUTOKEA utakachofanya ni kukenua meno tu LAKINI ukiambiwa HABARI MBAYA ITAKUTOKEA lazima UJIPANGE KUZUIA AU KUPUNGUZA MADHARA YAKE. Kwahio anazungumza habari mbaya ILI WATU WAJIHAMI.

Wote mlio "Like" post hio hapo juu FAHAMUNI NISEMAYO, ACHENI KUPUUZA TAHADHARI. Kwani ISIPOTOKEA WEWE UTAPATA HASARA GANI?
unabii kama unabii sharti utimie vinginevo ni unabii fake.
 
huyu jamaa alitabiri 2015 kuwa Manywele meupe ndo atakuwa Raisi wa nchi yetu, mi nasubiria hapo tu nijionee kama ni mkweli ama la. Alitamka hayo mara baada ya manywele kwenda kuhiji huko mwaka juzi mwanzoni.
Inasemekana ni mteja wake ndiyo hakati tamaa.

Mkuu ni kuhakikishie tu Mungu mara nyingi akituma au kutoa Utabiri kupitia Mtu habahatishi wala hauji nusunusu anautoa kamili na kwa Uhakika ilikuyaepusha mabaya baada ya kutimizwa kwa takwa au jambo analotaka Mungu hatoi utabiri kwa kutisha watu kiujumla jumla tu nikupe mfano mmoja kwa kutumia Biblia japo ipo Mingi

SOMA YEREMIA 26:1-20 ila kwa Ufupi hapa na kupa mstari wa 12 hadi wa 13 kwa rejea yako uone tofauti ya utabiri kama agizo la Mungu na Utabiri kama hadakadabra;

NDIPO YEREMIA AKAWAAMBIA WAKUU WOTE NA WATU WOTE ,AKISEMA,BWANA NDIYE ALIYENITUMA KUTABIRI JUU YA NYUMBA HII,NA JUU YA MJI HUU,MANENO HAYO YOTE MLIYOYASIKIA BASI SASA TENGENEZENI NJIA ZENU,NA MATENDO YENU MKAISIKILIZE SAUTI YA BWANA MUNGU WENU;NAYE BWANA ATAYAGHAIRI MABAYA ALIYONENA JUU YENU.

Utaona wazi utabiri huu ulimlenga sehemu mahususi,mtu na sehemu husika ikiwa bayana na sababu na nia ya Mungu ya kuwaepusha na hatari iliyowakabili...kwa hiyo tusibeze ila kila neno la Mungu lipimwe na kuthibitishwa na andiko.
vipi kuhusu utabiri wake wa arsenal,nao unaangukia fungu gani,au la entertainment prophecy?
 
Si mimi ni utabiri wa TB Joshua leo, ameonyeshwa rais mmoja Africa atatekwa na ameonyeshwa watu wakiwa club wanacheza then wanalipukiwa na nchi iyo ni jirani na Kenya, Angalizo, amesema siyo kenya tena,je itakuwa nchi gani?

Misa ya leo jumapili ndo kasema, na amesema ataendelea kuomba ili jumatano na alhamisi ijayo aonyeshwe ni rais gani na nchi gani.

VIDEO:

Jamani tuombe sana isiwe tanzania

tumepata shekh yahya mwengine
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu walitabiri kwamba dunia itaisha 1843-4, waanzilishi wa "Seventh Day Adventists".

Ilipoonekana kwamba dunia haikufikia kiama katika muda huo waliosema, wakasema kwamba "maombi ya waumini wachache yamezuia mwisho wa dunia".

Sasa kama TB Joshua anataka waumini waombe ili kuzuia maafa haya, na watu wakaomba, halafu maafa yasipotokea.

TB Joshua akisema "maafa hayajatokea kwa sababu ya maombi ya waumini", provability ya utabiri wake itakuwaje?

Ili utabiri uweze kuwa solid inabidi uwe detailed and precise (hajatupa detail wala precision).

Zaidi ya hapo kajinunulia insurance policy kwa kuomba watu waombee kuepusha maafa.

Maana yake hata anayotabiri yasiptokea, anaweza kusema "hayajatokea kwa sababu ya maombi ya waumini".

Huu si utabiri, ni kujikweza tu.

cc Anheuser bona MAHENDEKA CYBERTEQ Matola Ibambasi Gang Chomba Leonard Robert
 
TB Joshua Fails To Predict Horror Death-Stampede At Own Church-|-ZimEye

Popular Nigerian Prophet TB Joshua failed to predict that there would be a stampede at his Synagogue Church Of All Nations church leading to the death of several people at his service who had been called to collect so called "new anointing water" in Ghana.
Joshua who has been known for predicting mass disasters, untimely deaths, as well as plane crashes in geographical locations as far as the United States of America, failed to predict what was to take place at his church in a development which was forewarned by Zimbabwe's First Lady Grace Mugabe. "I really don't understand why scores of people are putting their faith on foreign preachers," Grace Mugabe said (Read more of Mrs Mugabe's statement below)

A total of four people died and at the time of writing 15 others were reported injured. Of the four who died, three of them are women and one is a man.

Reports coming in state that Joshua had requested security from police but once again "the man of power" failed to predict that he would have over 45000 people attending the service.

The stampede was caused by believers who understood the water could cure a variety of afflictions.
The meeting had to be cancelled and a new date is to be announced for the handing out of the anointing water.
Following the cancellation the man himself Joshua issued a statement to Ghanaians informing the people that the meeting had to be called off due to the oversized crowd that had come. The water is now expected to be handed over to churches, Pastors and charitable organizations who can get it to the people from there.

"Following the death of four people Joshua should have acknowledged the disturbance caused by the stampede and mentioned about the death of four people and should have admitted that the police were carrying out investigations," one Zimbabwean woman commented on Sunday evening.

"Much of it is attributed to lack of crisis management and information on Public Relations strategy," she added.
The accidental deaths come after Joshua and his church were heavily critised a few weeks ago following the arrest of four journalists who were illegally arrested by his security.

Holy water has been sought by many Africans of social standings including prominent Zimbabwean politicians who have frequented to the church in Nigeria seeking the so called holy waters. These Nigerian visits have been criticised by Zimbabwe's first lady Grace Mugabe who encouraged nationals to make use of local prophets the likes of Ezekiel Guti, Emmanuel Makandiwa, and Andrew Wutaunashe ‘who are equally talented and mightily used by God'.

"People have this misconception that Zimbabweans do not know how to pray. Little do they know that we have a lot of anointed people who are able to help us because they know the environ-ment that we are operating under. A closer look at the countries which are being thronged by our people reveals that they are torn by war and hunger," she said.
She added:

"It doesn't matter which denomina-tion you belong to, we are all seeking one God. Believe in our prophets and stop wasting money visiting faraway countries. In Zimbabwe we have people who, through prayer, can heal you from your sickness and restore your broken marriage."

"I really don't understand why scores of people are putting their faith on foreign preachers. They are having to raise a lot of money to visit them when in Zimbabwe we are blessed with anointed people of God who are able to do even greater things."

Meanwhile Zimbabwe`s Prime Minister Morgan Tsvangirai also sought favourable predictions from TB Joshua on whether he would win the presidential elections and has so far failed to get the favourable prediction as that one given to Malawi`s current President Joyce Banda.
 
Si mimi ni utabiri wa TB Joshua leo, ameonyeshwa rais mmoja Africa atatekwa na ameonyeshwa watu wakiwa club wanacheza then wanalipukiwa na nchi iyo ni jirani na Kenya, Angalizo, amesema siyo kenya tena,je itakuwa nchi gani?

Misa ya leo jumapili ndo kasema, na amesema ataendelea kuomba ili jumatano na alhamisi ijayo aonyeshwe ni rais gani na nchi gani.

VIDEO:

Jamani tuombe sana isiwe tanzania

Mkuu Kamugisha, unataka tuombe iwe nchi gani?
 
Last edited by a moderator:
Naomba ku uliza ikiwa kuna utabiri wowote amewahi toa ukaja kuwa kweli. Nasubiri jibu tafadhali

Wewe uko Dunia gani humfahamu Prophet TB Joshua? Kwanza YEYE SIYO MTABIRI bali ni Mtumishi na NABII wa MUNGU wa siku zetu. Amekwisha toa Unabii mwingi tu na ukatimia. Wengi wametaja ushuda huo kwenye uzi huu, fuatilia.
 
Huu uzi sijui ulianzia wapi. Nimekutana nao ghafula. Namshukuru Mungu nimepata nafasi ya kuupitia wote. Jambo moja nimegudua; hakiri za binadamu hazitakaa ziujue ukubwa na mipango ya Mungu; labda kwa neema.

Wachache niliokutana nao ktk jukwaa la siasa, leo ndo nimejua jinsi walivyo. Sikujua kama mtu anaweza kuwa na ushahidi wa kikatiba ktk maelezo yake na asiweze kuwa na ushahidi wakutosha wa kumtuhumu mtumishi wa Mungu. Kwa bahati mbaya watu kama hawa wakiingia ktk siasa mlinzi wao mkuu ni waganga wakienyezi.

Kibaya zaidi ni pale nilipoona kituko cha mwaka, maoni ya mmoja ktk huu uzi yanatisha....ni kama majigambo...majigambo ya kipepo, na ni ya woga. Nachelea kusema ktk anga zake anamwona TB Joshua. Tatizo mmoja yuko upande mmoja na mwingine yuko upande mwingine. Wakikutana kuna kitu kitatokea.

Nivizuri ukatembelea chanel ya 'emmanuel tv' ili ujue nini mtumishi huyo anafanya kabla ya kutuhumu usiyoyajua.

Kinachonisikitisha hapa ni kama tunataka Mungu afanye aliyoyatabili TB ndo tujue kwamba yeye ni Nabii. Kinyume chake tuamini yeye ni 'Mwongo'.

kama mungu muweza wa yote, muumba mbingu na nchi kwa nini aumbe viumbe dhaifu wenye akili wasioweza jua ukubwa na mipango ya mungu? je hakutaka tu kufanya ivyo? hakuna mungu kijana!!!
 
Unajua wewe unajichanganya sana yeye hakuomba kuaminiwa ametoa unabii wake tu, jambo la muhimu si kumpinga bali kukaa na kusubiri ili tuone kama itatokea kama alivyotabiri au la!!! Lakini jambo lingine kwetu sisi wakristo ni kuombea amani Taifa letu na pia kumwombea mh. Rais wetu na viongozi wengine ili tuishi kwa amani ili Injili ihubiriwe na watu waokolewe, pia haki itendeke ktk Taifa letu, mimi si mwanaccm ila kila siku namwombea Rais wetu na serekali yake ili tuishi kwa amani, hata ktk unabii huu naomba isiwe kwa Rais wetu.

Unabii gani manabii washaisha bhana, mie pia simuamini na ikitokea basi ni vyema usalama wakaanza na yeye atakua lazima anahusika na matokeo.
 
Back
Top Bottom