Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TB JOSHUA: Kuna Rais East Africa atatekwa na Club kulipuliwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ta Kamugisha, Oct 27, 2013.

 1. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2013
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 2,211
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 63
  Si mimi ni utabiri wa TB Joshua leo, ameonyeshwa rais mmoja Africa atatekwa na ameonyeshwa watu wakiwa club wanacheza then wanalipukiwa na nchi iyo ni jirani na Kenya, Angalizo, amesema siyo kenya tena,je itakuwa nchi gani?

  Misa ya leo jumapili ndo kasema, na amesema ataendelea kuomba ili jumatano na alhamisi ijayo aonyeshwe ni rais gani na nchi gani.

  VIDEO:  Jamani tuombe sana isiwe tanzania
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Mr Q

  Mr Q JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2013
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 2,239
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 83
  Naomba ku uliza ikiwa kuna utabiri wowote amewahi toa ukaja kuwa kweli. Nasubiri jibu tafadhali
   
 3. Hornet

  Hornet JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2013
  Joined: Apr 29, 2013
  Messages: 7,908
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 83
  Yaah ulihusu ajali ya train,
   
 4. mbota

  mbota JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2013
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 615
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 18
  Let us pray . Mr Q ametabiri mengi sana na yametokea
   
 5. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2013
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 2,211
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 63
  Alitabiri rais wa malawi, hata Westgate alitabiri watu wakapuuza
   
 6. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2013
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,140
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 48
  mbona aonyeshwi mazuri. anaonyeshwa mabaya tu
   
 7. mbota

  mbota JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2013
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 615
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 18
  Jamani TUSIPUUZIEππππ
   
 8. S

  Sumu JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2013
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 4,856
  Likes Received: 755
  Trophy Points: 113
  Na utabiri wake usipotimia atatumia kifungu cha Biblia takatifu kujitetea.
   
 9. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2013
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 2,211
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 63
  Hapa hata kwenda club naanza kupunguza wakui, maana roho imeniruka vibaya! Jamani tuombeni huu si utani jamani
   
 10. kabanga

  kabanga JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2013
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 25,269
  Likes Received: 1,282
  Trophy Points: 113
  inashangaza...
   
 11. Mr Q

  Mr Q JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2013
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 2,239
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 83
  Asante kwa kunhijuza
   
 12. Domy

  Domy JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2013
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 4,727
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ulihusu mlipuko marekani na ikatokea kweli kwenye mashindano ya Olimpiki....
   
 13. Mr Q

  Mr Q JF-Expert Member

  #13
  Oct 27, 2013
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 2,239
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 83
  Kama ni kweli panahitajika maombi.
   
 14. Mr Q

  Mr Q JF-Expert Member

  #14
  Oct 27, 2013
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 2,239
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 83
  Sikulifahamu hili. Asante kwa kunifahamisha
   
 15. pipii

  pipii JF-Expert Member

  #15
  Oct 27, 2013
  Joined: Dec 21, 2012
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kagame si alisema atamuonyesha yeye ni nani? tusubiri
   
 16. Mr Q

  Mr Q JF-Expert Member

  #16
  Oct 27, 2013
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 2,239
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 83
  I see!!!
   
 17. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #17
  Oct 27, 2013
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 2,211
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 63
  Kaka mazuri ameombea dunia iwe na amani pia ameombea watu wenye magonjwa wamepona au mkuu huangalii Tb Joshua?
   
 18. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #18
  Oct 27, 2013
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 19,309
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 48
  Huyu wa kwetu anavopenda kuzurura hii ya kutekwa inamhusu sana...club isije ikawa maisha club maana watamuuwa shemeji yao
   
 19. Ng'wamapalala

  Ng'wamapalala JF Gold Member

  #19
  Oct 27, 2013
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 6,325
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 38
  Yaani huyu Pastor yeye anatabiri matendo ya kishetani tu. Kwa nini hajatabiri mambo ya neema kwa "wana" wa Mungu

  Alileta story ya Boko Haram kufutika ikagonga mwamba. Huwa anacheza na probability za matukio katika jamii kulingana na mazingira halafu anakuja na majibu.

  Halafu matukio yakitokea ndiyo huwa anajitokeza na kudai alitabiri na limetokea.

  Kila mtu na shamba lake la mavuno ya kimaisha na wajinga ndiyo waliwao.

  He's getting richer wakati waumini na wafuasi wake wengi getting poorer.
   
 20. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #20
  Oct 27, 2013
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 3,459
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 63
  Hivi watu wanamuamini sana huyu mnigeria eenh? Yangu macho
   

Share This Page