hata manabii wa uongo wapo,hata Tb j ni mmoja wapo
Huyu namuonaga ni mfanyabiashara anaetumia vibaya Maneno ya Mungu ku manipulate akili za watu na kujiongezea utajiri wake. Alisema Arsenal haitochukua kombe lolote mpaka kale katoto katakapokuja kuwa mfalme. Sasa lile la FA ni nini?
Wajinga ndio waliwao.
Ningeshangaa sana kama usingetokea kwenye huu uzi. Hivi unajua hata ni timu gani na imetwaa ubingwa upi?Wajinga ndio waliwao.
najua wale wavaa vkofia na suruali fup watajaa apa sasa hivi napta...