TB joshua atabiri matokeo ya champion League, kuwa Chelsea inahitaji maombi zaidi kuliko Bayen, Ila kasema kuna mtu mrefu mwenye upara atafunga Goli la kichwa. Tusubiri tuone wale wanaoamini lakini, wapenzi wa chelsea ombeni sanaaaaaaaa, hata yeye ni mpenzi wa chelsea kumbe, ila ni kwa kipindi cha kwanza hicho, matokeo kamili jumapili ya next wiki.
Note Wapenzi wa Chelsea kasema Ombeni sana tena sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Labda Jesus kacheza chandimu huwezi juwa ! Kwani alikuwepo Duniani !Nabii ni sauti au ujumbe wa Mungu kwa watu wake.
Je Mungu ameanza kujishughulisha masuala ya mpira????
Labda Jesus kacheza chandimu huwezi juwa ! Kwani alikuwepo Duniani !
yamebaki masaaa!!K-nya anye kuku,ak-nya bata mchafu!sasa huyu TB JOSHUA NA MAREHEMU SHEIKH YAHYA HUSSEIN WA tz kuna tofauti gani? mbona huyu watu wanamshabikia???
Mimi natabiri chelsea ni mabingwa, halafu tuone kati ya Mungu wake na Wangu yupi mkweli..mark my words na tukutane jumapili..
Jamani wakuu hakuna mtume atakae kuja zaidi ya Muhammed(S.A.W)
Huyu mshirikina anatafuna pesa za matajiri wa afrika kwa mazingaumbwe ya kitoto sana.
Nami namtabiria TB Joshua kuwa hivi karibuni yatamkuta makubwa na ataumbuka vibaya. Siyo mara yangu ya kwanza kutabiri. Nilimtabiria shehe Yahaya Hussein kuwa atarudisha namba na akarudisha kweli. Hivyo mshaurini asome utabiri wangu na aache utapeli yana mwisho.
Mbona kipindi cha kwanza kmeisha! au tb joshua amechemsha?