Tazama picha na linganisha na kauli ya Nchemba kuwa elimu nchini imekuwa!

DJ Baraka

Senior Member
May 15, 2013
177
82
934832_538234399567946_498961784_n.jpg

Kwa kweli ni kumuachia mungu tu
 
Mbona sura zao zinafanana? Ni wadogo zako? Jitahidi kuwaweka vizuri kidogo mtu wangu!
 
Kidumu Chama Cha Mapinduzi na fikra za Mwenyekiti na familiar yake ...
 
Mtwara hiyo, ndio maana hatutaki gesi yetu itoke, bora tugawanyiwe kila mtu tumboni kuliko iende Dar. Hapo ni Nanyamba
 
Wanahali mbaya hawa watu du! Maccm yanadhambi haya

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mbona sura zao zinafanana? Ni wadogo zako? Jitahidi kuwaweka vizuri kidogo mtu wangu!

Hao ni watoto toka familia tofautitofauti na wala hawafanani, ni vumbi tu ndo imewafanya waonekane hivyo, huoni ni huyo mmoja tu anaviatu hao wengine wanapekua, hakuna mzazi/mlezi anayeweza kumjali mtoto mmoja tu na wengine awaache wanapekua

Nchi hii viongozi wa CCM na serikali yao ni kituko, kuna shule ipo mbozi chumba kimoja kinatumika na madarasa tofauti matatu, kikiwa na chalk board 3 chumba kimoja
 
934832_538234399567946_498961784_n.jpg

Watanzania hapo, watanzania twapendeza! Nambari wani eeh, nambari one ni CCM. Hivi ndivyo Capt Komba alimaanisha twapendeza.
 
Back
Top Bottom