Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 21,341
- 51,907
Kwema Wakulungwa!
Hii nchi mtu huwa mzalendo akiwa na njaa, fukara na apeche Alolo Ila akipata ulaji uzalendo huyeyuka Kama theluji.
Hii imaanisha nini?
Naomba kwa heshima na taadhima, Kwa wale wanafasihi Nguli waje waniambie Tausi wa Mrisho mpoto kwenye hii nchi ndio Nani?
Alafu Mrisho mwenyewe atatujibu kuwa imekuwaje miaka yote hasa hii mitano iliyopita aliacha kuimba nyimbo za namna hii Kama ule wa "Mjomba, hizi ni salamu zangu kwako"
Na sasa karudia mtindo ule ule wa zamani kabisa kabla ya JPM kuingia utawalani.
Je nini kimebadilika na kumfanya Mrisho arejee mtindo wake wa kale Kwa kumtambulisha Tausi Kama Ndege mbaye anapaswa ajilinde wasijemtoa unyoya?
Kwenu wajuvi