Felixonfellix
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 1,672
- 182
Hivi kuna watu bado wanauziwa mbuzi kwenye gunia mpaka leo????
Mpe pole ila kama hapendi atafute njia ya kuiondoa
Unamaanisha nini hapo kwenye red
Hivi kuna watu bado wanauziwa mbuzi kwenye gunia mpaka leo????
Mpe pole ila kama hapendi atafute njia ya kuiondoa
Sehemu gani Dar, wanafuta Tattoos?
Jamaa kashatapeliwa. Wakafute tuu waendelee na maisha.
Na wewe umejigonga matatuu?
This is a perfect example to illustrate why tattooing a person's name on one's own body is a Big no-no.
Anyway, kama nimeelewa vizuri, mke wake aliipata ile tattoo wakati bado hawajawa wachumba, right? Basi, tatizo ni nini? Ingawa zamani mke wake alikuwa anampenda mwanaume mwingine, sasa hampendi mwanaume huyu tena, mpenzi wake wa sasa ni mume wake, kwa hiyo nadhani mume wake hana sababu yoyote ya kuumwa kwa sababu ya ile tattoo (ijapokuwa anakosa kujiamini/kujithamini na kufeel threatened na yule Kevin). Anaweza kumwuliza mke wake aiondoe tattoo, lakini kama yeye akikataa (akitoa hoja zenye mantiki kueleza kwa nini hataki), nafikiri mume anapaswa kuelewa na kuyaacha mambo kama yalivyo.
kuna tattoo parlour ya richa adhia (sijui nimepatia jina,former miss tz), iko upanga karibu na SIDO. check with them..
Ni utoto, ayaache yalivyo kadri siku zinavyokwenda yatafutika kutoka vichwani mwao wote. Othewise hata wakifuta wataendelea kuwa na jinamizi la mmoja kumkumbuka Kevin mwingine kwa nini alichora tatoo na kuandika kevin.
Wamuombe Mungu maisha yaende if they are in reaal love. Wanawake na maendeleo. Namshukuru Mungu kwa kuwa mshamba, na ushamba wangu uendelee!
Yeah...that Kevin Ambrose is something else!
Unamaanisha nini hapo kwenye red
Wadau wa JF.
Kuna jirani yangu ni mdogo kiumri kamaliza chuo mwaka juzi, na mwaka huu kafunga ndoa.
Kaniomba ushauri kuhusu ndoa yake ndio kwanza ina miezi saba tu, tatizo liliopo huyo kijana ananiambia huyu mke wake alikuwa anasoma chuo pale IFM, alikuwa anafuatilia toka mwaka wa kwanza.
Kila hakimuomba wawe wapenzi yule mwanamke anamwambia hawezi kuingia kwenye mahusiano na mwanaume yoyote mpaka siku atakapofunga ndoa.
Kijana akashwawishika na yale maneno ya yule mwanamke, jirani akatangaza uchumba, mwanamke akakubali, wakawa wachumba mwanamake akamwambia mwanaume tendo la ndoa watafanya siku ya harusi mwanaume, akakubali sababu na mapenzi ya kweli.
Siku ikafika wakafunga ndoa wakawa mume na mke, jirani ananiambia mke wake kachora Tattos kwenye mapaja yake, Tatoo moja kachora alama ya Moyo, paja la pili kaandika I love you Kevin.
Nimemuliza kwa nini ulijichora hivi ananijibu mbona vitu vya kawaida usijali mpenzi, nilichorwa na rafiki yangu wa kike wakati tupo chuo.
Jirani anasema kinachomuuma zaidi ni hayo maneno I Love you Kevin, sio jina lake.
Wadau tumsaidiaje jirani yangu nawakilisha

kwani alimuambia hajawahi kupenda ama hajawahi kushiriki tendo la ndoa? aliwahi kumpenda huyo kelvin, innocently akaji-tattoo jinale then akagundua kimeo. washirikiane kuondoa ghost ya kelvin huku wakiendelea kupendana nadhani.
Hapa ndo unapo kuja kuona umuhimu wa shake before use
Jamaa kashatapeliwa. Wakafute tuu waendelee na maisha.