Tatizo la uume kusinyaa na kuwa kama wa mtoto mdogo

Jamani, nina umri wa miaka 21, nina tatizo la uume kusinyaa na kuwa kama wa mtoto mdogo, na hata wakati wa tendo kabla sijaingiza ukeni huwa unasinyaa na hata ukiingia bado unasinyaa.

Nimezunguka sana kutafuta tiba lakini sijapata. Hivyo naomba msaada kwa mtu yeyote yule ambae amewahi kupona tatizo hili.

Maoni na ushauri unaruhusiwa pia.
KWa miaka 21 huo bado ni uume wa mtoto mdogo usihofu.

Miaka 21 bado hauja ecperience vitu vingi so kjla kitu utaona unakosea tu.

Kwa umri huo hata ukiaza biashara utaona una tatizo utafeli.

Kila utakachofanya hakitakuw aperfect kwa 100% so just relax ndo unayaanza maisha kubali mapungufu.

Ndio maana hauwezi kuta mtu kuanzia miaka 35 au 40 akilalamika uume kusinyaa kama wa mtoto kwa sababu tayari ameshaexperience hiko kitu miaka mingi nyuma.

Just relax tu.
 
Tafuta dawa za kisukuma za kutibu hiyo shida toka kwa wasukuma OG kule kanda ya ziwa. Naamini utapona.
Otherwise, labda testosterone levels zako zippo chini so ule vyakula vinavyoongeza hiyo huku unapiga supplements za zinc.
 
Daah, basi me nikushauri tulia tu achana na mahusiano utazid kujiaibisha na kukosa confidence unless atokee mwanamke alokuzoea sana umzoee pia na akuchukulie kama ulivyo unaeza rejea katika hali ya kawaida.
Tafuta Tiba Waganga wanajua usipoteze muda.
Tiba asili kwa baadhi ya waganga nimejaribu lakini bado hazijazaa matunda
 
Tafuta dawa za kisukuma za kutibu hiyo shida toka kwa wasukuma OG kule kanda ya ziwa. Naamini utapona.
Otherwise, labda testosterone levels zako zippo chini so ule vyakula vinavyoongeza hiyo huku unapiga supplements za zinc.
Testosterone level iko fine boss
 
Jamani, nina umri wa miaka 21, nina tatizo la uume kusinyaa na kuwa kama wa mtoto mdogo, na hata wakati wa tendo kabla sijaingiza ukeni huwa unasinyaa na hata ukiingia bado unasinyaa.

Nimezunguka sana kutafuta tiba lakini sijapata. Hivyo naomba msaada kwa mtu yeyote yule ambae amewahi kupona tatizo hili.

Maoni na ushauri unaruhusiwa pia.
Cha msingi ni kujua kwanza sababu inayosababisha hali hiyo kisha ndipo unawezapata suluhisho lake.

Tatizo linaweza kuwa depression au anxiety. Ushauri wangu ebu kapime kwanza matatizo ya moyo then ukipata majibu zingatia ushauri wa daktari na ubadili life style hasa kufanya mazoezi, kula vizuri na kikubwa zaidi afya ya fikra, jitahidi sana usijilinganishe na wengine, anza kuhesabu baraka ulizonazo kuliko kuhesabu vitu ulivyokosa itakujengea kujiamini na utastaajabu hilo tatizo hutoliona tena.
 
Inasinyaa au haisimami ?

Kwa tatizo lako hata nyeto huwezi kupiga maana ili upige lazima isimame
 
Back
Top Bottom