Laptop za Samsung zina ubora gani kulinganisha na Dell, Lenovo, Acer na Toshiba?

kingi mweuc

JF-Expert Member
Sep 22, 2015
266
73
Habari wakuu,

Naomba kujuzwa kuhusu laptop za samsung je zina ubora gani kulinganisha na hizi tulizozizoea HP dell lenovo accer na Toshiba.

Pia naomba kujuzwa hizi processor core series from core 2 duo corei3 na kuendelea zina effect gani kwenye swala la speed ya pc je nikiongeza ukubwa wa ram naweza solve tatizo la speed hata km natumia pc ya core 2 duo.

Thanks in advance
 
Back
Top Bottom