Tatizo la ukwepaji (Evasion) Kodi ni kubwa

Martinez

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
525
160
Ukiangalia kwa makini utagundua tatizo la ukwepaji kodi ni kubwa sana (systemic crisis).

Kuna bidhaa ambazo zinatumiwa sana kila siku, mfano maji, juisi, soda nk.

Lakini pia mafuta (fuel), simu nk ni kati ya maeneo yanalipiwa kwa kiwango kikubwa na kila mtanzania (direct and indirect).

Mbali ya hapo tuna kampuni kubwa za uchimbaji madini, utalii nk.

Lakini ukija kwenye kodi, maeneo hayo hayatoi walipaji kodi wakubwa.

Wanazidiwa mpaka na Tanga cement.

Hili ni tatizo kubwa

N.B: Quoted, walipaji kodi wakubwa tanzania, 2011;

Kwa ufupi:eek:nly one mining company,one telecom company,no gas/fuel company!!

1.TBL(Tsh bilioni 165.4)

2.NMB(Tsh bilioni 108.6)

3.TCC (Tsh bilioni 92.1)

4.NBC (Tsh bilioni 89.9)

5.CRDB Bank Ltd(Tsh bilioni 79.2)

6.Tanzani Ports Authority(Tsh bilioni 76.8)

7.Tanzania Portland Authority(Tsh 73.4 bilioni)

8.Airtel(T) Ltd(Tsh bilioni 63.6)

9.Tanga cement company Ltd(Tsh 43.6)

10.Standard chartered Bank Ltd(Tsh bilioni 40)

11.Citibank(T) Ltd(Tsh bilioni 35.7)

12.Resolute(T) Ltd(Tsh bilioni 32.1)

13.TICTS(Tsh bilioni 25.9)

14.Tanzania Distillers Ltd(Tsh bilioni 13.4)

15.Group five international(PTY) Ltd(Tsh bilioni 9.5)

Source: Hotuba ya waziri mkuu bungeni tarehe 28/8/2011.
 
Mkuu,

Huoni kama hizo data ni za zamani sana na hazihakisi hali ya sasa?
 
Back
Top Bottom