The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,111
- 115,906
Kuna thread iliwekwa hapa zamani kidogo na marehemu Regia Mtema
orodha ya makampuni kubwa 20 yanayolipa kodi Tanzania
Katika orodha hiyo kampuni ya pombe za kienyeji ya KIBUKU ilikuwepo
katika top 20 pamoja na Konyagi
lakini
makampuni kama haya hayakuwepo
1. Vodacom
2. Tigo
3. Oilcom
4. Gapco
5. Lake oil
6. Puma/bp
7. Murza oil
8. Shelys pharmaceutical
9. Mansour daya
10. Songas
11. Artumas
12. Symbion
13. Iptl
14. Ticts
15. Acacia
16. Pan african
17. Statoil
na mengine meengi sana
Sasa mjadala ulikuwa makampuni haya ama yanakwepa kodi au yanalipa kidogo sana
====================
orodha ya makampuni kubwa 20 yanayolipa kodi Tanzania
Katika orodha hiyo kampuni ya pombe za kienyeji ya KIBUKU ilikuwepo
katika top 20 pamoja na Konyagi
lakini
makampuni kama haya hayakuwepo
1. Vodacom
2. Tigo
3. Oilcom
4. Gapco
5. Lake oil
6. Puma/bp
7. Murza oil
8. Shelys pharmaceutical
9. Mansour daya
10. Songas
11. Artumas
12. Symbion
13. Iptl
14. Ticts
15. Acacia
16. Pan african
17. Statoil
na mengine meengi sana
Sasa mjadala ulikuwa makampuni haya ama yanakwepa kodi au yanalipa kidogo sana
====================
Wakuu,Salaam!
Kwa wale mliofuatilia Hotuba ya Waziri Mkuu wakati wa kuahirisha Bunge Jana alitoa pongezi na kuzitaja Makampuni au Mashirika yanayoongoza kwa kulipa Kodi hapa nchini.
Alisema kwa kipindi Cha mwaka 2005 na 2011 Makampuni hayo yamekuwa yakifanya vizuri katika ulipaji Kodi.
Aliyataja Makampuni hayo Kama ifuatavyo
"Mheshimiwa Spika,
Nitumie nafasi hii kuwapongeza baadhi ya Walipakodi Wakubwa kwa Serikali na ambao wamefanya vizuri kati ya kipindi cha mwaka 2005 na 2011.
Kwa kipindi hicho, Makampuni yaliyoongoza kwa kulipa kodi ni pamoja na:
i. Tanzania Breweries Ltd. (Shilingi Bilioni 165.4);
ii. National Microfinance Bank (Shilingi Bilioni 108.6);
iii. Tanzania Cigarette Company (Shilingi Bilioni 92.1);
iv. National Bank of Commerce (Shilingi Bilioni 89.9);
v. CRDB Bank Ltd. (Shilingi Bilioni 79.2);
vi. Tanzania Ports Authority (Shilingi Bilioni 76.8);
vii. Tanzania Portland Cement (Shilingi Bilioni 73.4);
viii. Airtel (T) Ltd. (Shilingi Bilioni 63.6);
ix. Tanga Cement Company Ltd. (Shilingi Bilioni 43.6);
x. Standard Chartered Bank Ltd. (Shilingi Bilioni 40.0);
xi. Citibank (T) Ltd. (Shilingi Bilioni 35.7);
xii. Resolute (T) Ltd. (Shilingi Bilioni 32.1);
xiii. TICTS (Shilingi Bilioni 25.9);
xiv. Tanzania Distillers Ltd. (Shilingi Bilioni 13.4); na
xv. Group Five International (PTY) Ltd. (Shilingi Bilioni 9.5)."
Source: Speech ya Waziri Mkuu Bungeni
Haya Wakuu na tujadili na kutoa maoni yetu...