Walipakodi Wakubwa Kwa Serekali Kati Ya 2005-2011

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,840
Baadhi ya Walipakodi Wakubwa kwa Serikali na ambao wamefanya vizuri kati ya kipindi cha mwaka 2005 na 2011. Kwa kipindi hicho, Makampuni yaliyoongoza kwa kulipa kodi ni pamoja na:

i. Tanzania Breweries Ltd. (Shilingi Bilioni 165.4);

ii. National Microfinance Bank (Shilingi Bilioni 108.6);

iii. Tanzania Cigarette Company (Shilingi Bilioni 92.1);

iv. National Bank of Commerce (Shilingi Bilioni 89.9);

v. CRDB Bank Ltd. (Shilingi Bilioni 79.2);

vi. Tanzania Ports Authority (Shilingi Bilioni 76.8);

vii. Tanzania Portland Cement (Shilingi Bilioni 73.4);

viii. Airtel (T) Ltd. (Shilingi Bilioni 63.6);

ix. Tanga Cement Company Ltd. (Shilingi Bilioni 43.6);

x. Standard Chartered Bank Ltd. (Shilingi Bilioni 40.0);

xi. Citibank (T) Ltd. (Shilingi Bilioni 35.7);

xii. Resolute (T) Ltd. (Shilingi Bilioni 32.1);

xiii. Tanzania International Container Terminal Services (Shilingi Bilioni 25.9);

xiv. Tanzania Distillers Ltd. (Shilingi Bilioni 13.4); na

xv. Group Five International (PTY) Ltd. (Shilingi Bilioni 9.5).
Mengi,Barkresa,Dewji Tigo na Vodacom"Out"Why???
 
Yaani makampuni ya simu ni airtel tu? Hapo Kuna kitu na inaonekana Kuna ukwepaji kodi.
 
Yaaani voda yenye zaidi ya nusu ya wateja tz imezidiwa na airtel!!!!! Magufuli angazia huku
 
Baadhi ya Walipakodi Wakubwa kwa Serikali na ambao wamefanya vizuri kati ya kipindi cha mwaka 2005 na 2011.

Mengi,Barkresa,Dewji Tigo na Vodacom"Out"Why???

Tungepata data za 2014 ndio tungekuwa fair!.

Tena walipakodi wakubwa wangekuwa kategorized tuwatenge public corporations na pivate entity!.

Pasco
 
Airtel wanauza sana internet kuliko kampuni zingine.

Hata kama wanauza sana Internet! Voda na tigo Wana wateja wengi kuliko airtel hapa kuna harufu ya ukwepaji kodi. Na vipi kuhusu Said Salim Bakhresa, Mohamedi I terprises na IPP? Hawa ndo wanafanya wafanyakazi kukatwa kodi kubwa (PAYE) ili kufidia Pendo hilo na hii sio fair kabisa. Yaani hata makampuni ya madini hayapo?
 
Back
Top Bottom