Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

Vipi hali yako ya pua, hupati mafua ya mara kwa mara.
Mimi pia ninna tatizo maumivu makali ya sikio, juzi nilienda kwa specialist wa E.N.T akaniambia tatizo langu limesababishwa na mafua ya mara kwa mara hivyo imesababisha sikio kujaa maji. Nimepewa dawa ila bado nasikia maumivu
 
Mh! Bangi??? Hata km ni dawa simshauri, sikio ni kitu kngne, ukikosea kidogo ndo ushamtia mtoto uziwi. Nenda kwa wataalam wa ENT, achana na bangi imekaa kienyeji sana!
Kitambo nikiwa mdogo nilikua natoka usaha masikio yote Ila sikuwahi kupelekwa hospital zaidi ya miti shamba bi mkubwa alipambana Sana
 
Mh! Bangi??? Hata km ni dawa simshauri, sikio ni kitu kngne, ukikosea kidogo ndo ushamtia mtoto uziwi. Nenda kwa wataalam wa ENT, achana na bangi imekaa kienyeji sana!

Hujaambiwa hiyo bangi ivutwe, watu wengi sana nimesikia wanaitaja bangi kama ni tiba ya sikio japo imekaa "kienyeji" lakini sio ya kuipuuza moja kwa moja.
 
Pole, usisumbuke na sikio, nenda ukacheki meno yako esp meno ya magigo. Hilo siyo tatizo la masikio utakuwa na meno yametoboka. Pole sana kwa kudanganywa na watalaamu. Nina uhakika ya hiki nilichoandika!!

Tena uende ucheki mapema kwani infection ya meno kutoboka isije fika kwenye ubongo. Tafuta mtalasm mzuri wa meno kwa dar pale kariakoo yupo jamaa mmoja hospital ya AAR ni mzuri sana ingawa sina hakika kama bado yupo, otherwise kuepuka complications za meno unaweza meza antibiotic before kwenda kuong'oa. All the best!
Mfano kwa mtoto pembeni ya sikio kunakijitobo,je kile kitobo kinamaanisha nini
 
Jamani asanten sana kwa vile mnaonesha kunijali na kunitia moyo katika hili nnalopitia! Natambua mchango wenu na nauheshimu pia
Mungu wangu azidi pia kuwafanikisha katika njia zenuM
Jamani asanten sana kwa vile mnaonesha kunijali na kunitia moyo katika hili nnalopitia! Natambua mchango wenu na nauheshimu pia
Mungu wangu azidi pia kuwafanikisha katika njia zenu
Dada nipatie namba yako tafadhari
 
Back
Top Bottom