- Thread starter
- #21
Yaani timu iwe mbovu kwa asilimia 100 kweli? ππππTatizo la Man U ni team Mbovu. Full stop.
Yaani timu iwe mbovu kwa asilimia 100 kweli? ππππTatizo la Man U ni team Mbovu. Full stop.
Rikiboy una shida na Maguire? πππKIla mtu star hakuna coordination...alafu MAGWAYAA analoga makochaaaa shenzi yuleeee
yani magwaya kucheza first eleven hakuna sababu nyingine zaidi ya uchawiiii.Rikiboy una shida na Maguire? πππ
Ile ilikua nini pale jana? squad yote hadi hadi ya chini ya begi ya kuvalia siku za sikukuu ilikua ndani on pitch lakini hakuna kitu, unataka sema nnYaani timu iwe mbovu kwa asilimia 100 kweli? ππππ
drury he is here christiano ronaldo he is here, welcome all to manchester united fetcher welcome.Squad ya mwisho matata kwa Manchester UTD.
View attachment 2797805
Hivi kweli Mount alicheza kweli? Mbona hakuonekana kabisa ndo kipaji kinakufa hivo.Timu ambayo haitaki kusajili wachezaji wa maana wameweka Uingereza mbele kwa kuwanunua bei ghali bila sababu yaani Utd ndo ya kulipa mileha kibao kwa Mount halafu unasubiria wachezaji wa mikopo timu iendee sasa ni bora liende bila mgomo wa mashabiki haitoboi
Manchester na Chelsea wote ni wagonjwa tu wenye ugonjwa unaofanana.
drury he is here christiano ronaldo he is here, welcome all to manchester united fetcher welcome.
ebu nipe moja
Alitoka Amrabat kipindi wakati kinaanzaHivi kweli Mount alicheza kweli? Mbona hakuonekana kabisa ndo kipaji kinakufa hivo.
Kweli kwa makocha waliopita LVG, Mou, Ole etc. Ila huyu wa sasa wachezaji karibia wote kasajili mwenyewe.Kuna moja kati ya mashabiki wa Manchester United aliniambia maendeleo mabovu ya Man UTD yanatokana na uongozi mbaya wa mmiliki wa timu ambao ni familia ya Glazer (yenye makazi yake England). Mmiliki wa klabu ameridhika kuwa klabu yenye mauzo makubwa ya jezi lakini ameamua kutoipambania timu.
Kocha wa Man UTD yupo kama boksi lakini linapokuja suala la usajili hata akitaka kumnunua mchezaji fulani analetewa mwingine. Timu ni kama inajiendesha, hadi Carlos Casimiro ananukuliwa na magazeti mengi ya England akitoa lawama kwa timu hasa hasa kwa wamiliki na menejimenti.
Sura za kazi tupu hapoSquad ya mwisho matata kwa Manchester UTD.
View attachment 2797805
kwahiyo hiki kikosi kilikuwa kibovu?tangu zamani timu ilikuwa mbovu,kocha alikuwa tu na maajabu yake, alivoondoka yule babu uhalisia unaonekana
kocha mbovu pia. kapewa muda wa kutosha ,hana jipya
hiki kikosi kilibebwa na Sir A.Ferguson kwakuwa hakikuwa na uwezo? Iangalie reply yako vizuri utafute mahala pa kuhariritangu zamani timu ilikuwa mbovu,kocha alikuwa tu na maajabu yake, alivoondoka yule babu uhalisia unaonekana
kocha mbovu pia. kapewa muda wa kutosha ,hana jipya