Tatizo la Manchester United ni nini haswa?

Attelan

JF-Expert Member
Oct 12, 2023
434
701
Hivi karibuni kumekuwa na hali ya kukera inayotokana na Manchester United kupoteza kwa mfululizo na malalamiko kutoka kwa wachezaji ambayo yamekithiri.

Kiundani sababu ya Manchester United kuwa hivi ni nini? Ni coach? Management? Sera? Wamiliki? Au ushindani wa EPL umekuwa mkubwa?

UPDATES:
Katika msimu huu wa mwaka 2023/24 Manchester United imecheza mechi 10 na kushinda mechi 5 tu na kupoteza mechi 5 zote.

Manchester ipo katika nafasi ya nane kati ya timu 20 zinazoshiriki ligi kuu ya English Premier League (EPL).

english premier league table
Screenshot_20231030-104631.jpg
 
Attachments

  • Screenshot 2023-10-30 104808.png
    Screenshot 2023-10-30 104808.png
    15.6 KB · Views: 1
Wachezaji wengi wa Man u ni immature, ujinga mwingi. Jana unaona kabisa mchezaji anajua mpira niupeleke wapi Halland afunge,huku kwa Manshit kila mtu anakazana kufunga yeye hata kama yuko kwenye mazingira magumu,kwa hapa ni zaidi ya mechi ya jana.
Man u bado haijawa na watu wa kazi kwenye maeneo yake karibia yote,wachezaji wako legelege tu. Imagine Gernacho anakutana na Walker😂😂😂 anafurukutaje kwa mfano? Usije sema mbona Messi mwili mdogo mambo makubwa? Yule ni level ya peke yake.
Majeruhi,pia naona kocha bado hajawa na maamuzi sahihi kwenye kupanga kikosi.
Sikutegemea Antony mbrazil aanze bench kwa mechi ya jana.
 
antony hachez mpira bali anachezea mpira
 
Ni kocha uwezo mdogo
Kuna moja kati ya mashabiki wa Manchester United aliniambia maendeleo mabovu ya Man UTD yanatokana na uongozi mbaya wa mmiliki wa timu ambao ni familia ya Glazer (yenye makazi yake England). Mmiliki wa klabu ameridhika kuwa klabu yenye mauzo makubwa ya jezi lakini ameamua kutoipambania timu.

Kocha wa Man UTD yupo kama boksi lakini linapokuja suala la usajili hata akitaka kumnunua mchezaji fulani analetewa mwingine.
 
Niliishawahi kusema .

Wenye makosa ni mashabiki wa England wanaodai wamelipia tiket season nzima. Eti lazima wakaangalie.

Muhafaka ni kuacha kuvaa jezi, kutoshiriki mechi .

Wafanyabiashara waoneshe tu hizo mechi matzo yatashuka atanunua tajiri kama muarab atanunua tim kirahisi
 
Niliishawahi kusema .

Wenye makosa ni mashabiki wa England wanaodai wamelipia tiket season nzima. Eti lazima wakaangalie.

Muhammad ni kuacha kuvaa jezi, kutoshitiki mechi .

Wafanyabiashara waoneshe tu hizo mechi matzo yatashuka atanunua tajiri kama muarab atanunua tim kirahisi
Muarabu anataka kuinunua kwa asilimia 100, hapa kuna debate kwamba wakiiuza kwa asilimia zote Man UTD itapoteza uhalisi wake. Mashabiki wamefura wakimtwisha mmiliki zigo lote la lawama.
 
Hivi karibuni kumekuwa na hali ya kukera inayotokana na Manchester United kupoteza kwa mfululizo na malalamiko kutoka kwa wachezaji ambayo yamekithiri.

Kiundani sababu ya Manchester United kuwa hivi ni nini? Ni coach? Management? Sera? Wamiliki? Au ushindani wa EPL umekuwa mkubwa?

UPDATES:
Katika msimu huu wa mwaka 2023/24 Manchester United imecheza mechi 10 na kushinda mechi 5 tu na kupoteza mechi 5 zote.

Manchester ipo katika nafasi ya nane kati ya timu 20 zinazoshiriki ligi kuu ya English Premier League (EPL).

english premier league table
View attachment 2797739
Tatizo la Man U ni team Mbovu. Full stop.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom