Tatizo la maji Dar

Dr wa ukweli

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
900
264
Wajameni leo kijitonyama siku ya 8 maji hayajatoka, ni tatizo la jiji zima au ni kwetu tu?
 
bora wewe una siku ya 8,huku kwetu salasala maji hayajawah kutoka tangu mchina atufungie hayo mabomba yake!nasikia mchina alikua analipwa commission kwa watu aliowapelekea bomba&haijalishi maji kwako yatafika au hayafiki!nchi hii kazi ipo!ukienda dawasco wanasema tunakuja kuangalia,lakin huoni kiumbe!mabomba hata upepo hayatoi!
 
Makazi ya watu u/ndege hadi ukonga tulishajizoelea maji ya visima tu miaka yote nami nakushauri kama uko kwenye eneo lako chimba kisima magamba watakufanya ufe haraka kwa presha.
 
wakuu mbona siku zinaenda maji hayatoki na hawatoi maelezo au wamekata kimya kimya
 
Nimesikia kuwa maji Dar ni ndoto za alinacha, kila mtu achimbe kisima chake.
 
Jana Tabata wametupatia maji baada ya wiki moja kupita. Je wastani wa matumizi ya maji Tabata na kwingineko kwenye mgao kama wetu ni mara moja kwa wiki? Hizi siku nyngine mnategemea tunatumia nini? Hata kama mnadhani tuna vyombo vya kutosha kuhifadhia maji, ina maana kwa sisi wapangaji inabidi niongeze chumba kingine cha kuweka ndoo za maji. Maji ni lazima na haki ya msingi. Tunataka maji kila siku walau kwa saa moja
 
Leo ni siku 19,415 bila maji ya uhakika dar. Maeneo sugu ni:
  1. tabata;
  2. kimara;
  3. .....
  4. ....
tujaze orodha
 
Kwa sababu ya miti ovyo, hampati maji.

Leo ni siku 19,415 bila maji ya uhakika dar. Maeneo sugu ni:

  1. tabata;
  2. kimara;
  3. .....
  4. ....

tujaze orodha
 
Liwiti, Baracuda, Mangumi, Chama, Segerea, Kisukuru, Kinyerezi, Kimanga, magengeni........
Tmekosa nini kwa Mungu?
 
Ingekuwa heri iwapo Tabata ina Mbunge wa CDM, lakini inaonekana tunaadhibiwa kwa kutoa kura kidogo kwa Mbunge wa sasa?
 
Wapo Dodoma wanatengeneza eti katiba mpya!

Hata hivyo Maghembe alionekana sehemu anatoa hotuba ya kusherehekea wiki ya maji!!!! Ghasia naye alikuwa sehemu fulani huko Mpwapwa akiongea na wananchi. WIKI ya MAJI DAR ifanyikie maeneo kama TABATA, UBNGO, KIMARA .......
 
Back
Top Bottom