Habari zenu wapendwa.
Mimi nna ujauzito wa miezi mitano ila juzi nilihisi maumivu wakati wa tendo la ndoa na jana wakati najisafi niliona mabadiliko ya yale majimaji ya uke yamekua na vichembechembe kama mfano wa chicha nikajua ni fangas wananianza.
Sasa naombeni ushauri wenu nitumie dawa gani kulingana na hali yangu?
Au je dawa ya vidonge vya kuweka ukeni vya candistat haviwezi kuniathiri kwasasa?
Kwani nilishatumia zamani vikanisaidia ila sikua mjamzito wakati ule