Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Habar ndungu zangu, nasubuliwa sana na tatzo la fangasi wa sehem za siri nmetumia daw za hosptal ila hazjansaidia, hap nlpo sehm za pumbu zmebadil rang na kuwa nyeupe had mishapa ya damu inaonekana, nisaidien ndugu zangu nitumie dawa gan
 
Kwanza pole sana, wakati unaendelea na matibabu tumia pia mkorogo wa kitunguu saumu + mdalasini + mlonge + asali hii iwe badala ya chai ukiweza mchana na jioni tumia hiyo hiyo. namna ya kuvipata kama uko bongo morogoro road duka la TAFOPA namna ya kuchanganya you may call me 0755 557094 if you will not mind.
 
Bray ugonjwa wako wahitaji antifungal cream kama nystatin. Hauhitaji pendekezo kununua hiyo cream kwenye pharmacy.
 
braza tafuta dawa yenye generic name-TERBINAFINE upake mara 2 kwa siku kwa muda wa wiki 1 tu!
Upake vaseline katikati ya siku kwa kuwa huwa inakausha sana ngozi!
Kila la kheri kaka!
 
Asante sana gaffer na mcharuko, jana nlienda hosptali nikapewa cream ya daktarine pamoja na vidonge vya kumeza, je hii cream itaweza kunisaidia?
 
Nunu Tibenafil cream ni combination nzuri sana ya fungasi hasa zilizochanganyika na bacteria infenction staph infection
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom