Dalili | Aina ya kwanza | Aina ya pili |
Umri wa kuanza ugonjwa | Miaka chini ya 40. | Miaka zaidi ya 50. |
Muda wa dalili za ugonjwa kabla hajagundulika kuwa na kisukari. | Wiki | Miezi hadi miaka. |
Uzito wa mgonjwa wakati anagulika kisukari | Wa kawaida au pungufu | Mnene. |
Ketoni kwenye mkojo | Zipo | Hazipo. |
Kifo cha haraka hasipotumia insulini. | Ndiyo. | Hapana. |
Matokeotata ya kisukari wakati anagulika kisukari | Hakuna. | Yapo. |
Mtu mwingine mwenye ugonjwa wa kisukari katika familia. | Kwa kawaida hayupo | Yupo. |
Mmmh,nadhan wadau watakusaidia.ila hujaweka wazi mwezetu uko mkoa gani na wilaya ipi.
Wana JF,
Naomba kufahamishwa kama kuna Daktari Binwa wa Ugonjwa wa Kisukari Tanzania kwani huku Wilayani kwetu naona Madaktari wanaotibu Ungonjwa huu nimepoteza imani nao kwani imepelekea jamaa zangu wawili kukatwa Miguuu.
hapo kwenye red naona unamtafutia mwenzio kifo soma hii post yote utagundua ni mwongo wala hatibu kisukaripole,dk ndodi au tembelea tovuti ya muhimbili na chama cha wagonjwa wa sukari tz
Nenda Shree Hindu Mandal Hospital, na ufanye booking ya kuonana na Dr Kaushik. Hata kama nafasi itapatikana baada ya mwezi, jitahdi uonane naye. Ni daktari mzuri sana wa magonjwa ya kisukari.
hakuna cha daktari bingwa wala professor, wote waganga njaa tu.
Hawana utaalam wa ukweli. Ukienda wanakuongezea mzigo wa masharti kama vile 'fanya haya, usifanye haya' au mzigo wa 'kunywa dawa yangu utapona'
Gharama zao ni mzigo mwingine. Wezi watupu.
Wana JF,
Naomba kufahamishwa kama kuna Daktari Binwa wa Ugonjwa wa Kisukari Tanzania kwani huku Wilayani kwetu naona Madaktari wanaotibu Ungonjwa huu nimepoteza imani nao kwani imepelekea jamaa zangu wawili kukatwa Miguuu.
Mtafute Prof Mnyuku wa SUA Ana Tiba mbadala