Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Wana JF, jana niliweka habari ya tiba ya kisukari ila bado kuwekwa na wahusika na ninairudia kwa ufipi. Kama unasumbuliwa au unamfahamu mtu anayesumbuliwa na Kisukari mshauri ampigie simu Dr. Juma Juma 0767622338 amae ana dawa za kuponya katika muda wa siku 14 tu. Anauzoefu wa zaidi ya miaka ishirini. Mimi mwenyewe kanitibu kisukari na kimekwisha kabisa. :)
 
Kwa sasa dawa inapatikana Dar tu ila mpango wa kuipeleka mikoani upombioni na umma utajulishwa. Tiba ni mitishamba hakuna cha tunguli. Nenda na kipimo chako cha kisukari utapata tiba. Dr. Juma JUma mwenyewe alikuwa mhanga wa ugonjwa huo ndo alipopona na kupewa mafunzo na Dr aliyemtibu, akaamua kuanza kutibia watu wengine. Uwe na amani tu.
 
Kwa sasa dawa inapatikana Dar tu ila mpango wa kuipeleka mikoani upombioni na umma utajulishwa. Tiba ni mitishamba hakuna cha tunguli. Nenda na kipimo chako cha kisukari utapata tiba. Dr. Juma JUma mwenyewe alikuwa mhanga wa ugonjwa huo ndo alipopona na kupewa mafunzo na Dr aliyemtibu, akaamua kuanza kutibia watu wengine. Uwe na amani tu.

Unavyoelezea utadhani ni Afisa Uhusiano wa Clinic yake. Au upo karibu naye?...
 
Nimemsikia akisema ana mipango ya kuwafikia watu zaidi kwa kufungua ofisi nje ya Dar. Pia an mpango wa kujenga clinic ya gorofa % kwa watakaopenda kukaa pale for 2 weeks wakati wa tiba.
 
Andybete Capsule




Pure Herbal Medicine, Balance the Blood Sugar!


Function:


1.Treatment for diabetes. Reduce the blood sugar, blood pressure and blood fat, prevent from complications, supply nutrition and enhance immunity;
2.Assist for the treatment of the cardiovascular diseases;
3.Supply all kinds of nutrition, improve the overall health condition.




Ingredients:


Coscinum fenestratum, Rhinacanthus nasutus kurz, Moringa oleifera Lamk, Bitter Melon


Suitable for:


Diabetic patients to reduce the blood sugar and prevent from complications


Dosage:


One or two capsules once, twice a day in the morning and evening respectively, half an hour before meal.




Content:


300mg×30 capsules


Caution:


Avoid sweet food and alcohol.Not suitable for pregnancy, lactation, adolescents and children


To get one contact 0758768855
 
Hilo tunda linapatikana hapa Bongo? Linaitwaje kibongo? Usisahau pia Mlonge. Kunywa chai yake kila siku, tafuna mbegu zake angalau tano mara tatu kila siku. Magamba ya mti hutumika kutakasa maji ya kunywa kwa kuweka kipande cha ganda ndani ya maji ya kunywa, vidudu vingi hufa. Pia mchezo wa "mpira" chumbani hunoga zaidi na cd4 huongezeka/ Mwe! Wahindi wana raha sana, maana ina protein kibao hata watoto ukiwapa akili huwa sharp kukua na pia hakuna utapia mlo. na mambo kadha. Dadangu mmoja ameachana na vidonge vya shinikizo la damu, mlonge umesawazisha. Uwe mvumilivu tu mbegu chungu kidogo lakini ukinywa maji husikia sukari sana mdomoni.

Mlonge ni nini na ina faida gani kwa mtu mwenye kisukari?
 
Mimi natumia sweetex je itakua kwenye group ipi kati ya hizo ulizo taja? Na je sweetex ina madhara? Na ni madhara gani?
Cc MziziMkavu

Sweetener Side Effects: Case Histories



Jan. 10, 2008 -- Consuming sweets and chewing gum with sugar substitutes may help the weight-conscious slash calories, but excessive use of the sweetener sorbitol can cause extreme weight loss and other problems, according to a new report.
In this week's BMJ, Juergen Bauditz, MD, of the University of Berlin, and colleagues describe two patients with a sorbitol habit who had dramatic, unexplained weight loss until their excessive use of the sweetener was discovered.
(Do you include items with sorbitol in your diet? What foods and how often? Tell us about it on WebMD's Type 2 Diabetes Support Group board.)

Sugar-Free Sweeteners and Side Effects: Case Histories


One patient, a 21-year-old woman, had unexplained diarrhea and abdominal pain for eight months. She reported an unintended weight loss of 24 pounds, weighing in at about 90 pounds.
After she was asked about diet, she said she chewed sugar-free gum with sorbitol daily, taking in about 18 to 20 grams a day. One stick typically has 1.25 grams.
Once she eliminated sorbitol from her diet, the gastrointestinal problems stopped and she gained back more than 15 pounds.

The second patient, a 46-year-old man, had been hospitalized because of diarrhea and a weight loss of more than 48 pounds during the previous year. His blood work and other exams came back normal, but when asked about diet, he, too, reported excessive consumption of sorbitol. He chewed 20 sticks of sugar-free gum daily and also ate about 7 ounces of sweets daily, totaling about 30 grams of sorbitol.

When he cut out the sorbitol, he gained back 11 pounds within six months and his diarrhea problems disappeared.
The message for doctors, the authors conclude, is to inquire about dietary habits when a patient has unexplained weight loss.

Sugar-Free Sweeteners and Side Effects: A Food Scientist's View


Reports of side effects such as abdominal pain and diarrhea with high amounts of sorbitol consumption are nothing new, says Roger Clemens, DrPH, a spokesman for the Institute of Food Technologists and professor of pharmacology and pharmaceutical sciences at the University of Southern California, Los Angeles.
"The laxative effect is very well documented," Clemens tells WebMD. "It could be these individuals [in the case histories] were particularly sensitive." And they did consume excessive amounts, he notes. "We would not expect the average consumer to consume upwards of 20 sticks of gum a day."
"Sorbitol is not well absorbed," Clemens says. As a result, excess water enters the gastrointestinal tract and diarrhea can occur. Those who rely on artificially sweetened products to help manage their diabetes or to reduce overall calories, he says, should use a variety of such products and consume them in moderation. Sorbitol is found in toothpastes as well as chewing gum and sweets.



Researchers Cite 2 Patients Who Suffered Severe Weight Loss From Heavy Use of Sorbitol (continued)

What's a 'Safe' Amount of Sorbitol?

The FDA requires a warning label on a product with sorbitol if the manufacturer thinks the consumption would exceed 50 grams a day, according to an FDA spokesperson.
But levels under 50 grams of sorbitol daily may cause problems for some people, says Patti Truant, a spokeswoman for the Center for Science in the Public Interest in Washington, D.C. In 1999, the center petitioned the FDA to require a better label on sorbitol-containing products, noting that problems such as diarrhea can occur with as few as 10 grams a day of the sweetener.


Sorbitol Manufacturers Respond


The cases reported in BMJ involved excesses, says Chris Perille, a spokesman for the William Wrigley Jr. Company, which makes chewing gum containing sorbitol (including its brands Extra, Orbit, Freedent, and Eclipse).
"To reach the threshold of excessive consumption of sorbitol through use of gum alone [at levels set by the FDA], someone would have to chew close to 50 sticks or 100 pellets of gum daily," he says. In the U.S., he adds, the average per capita gum consumption is just one stick every other day.
The ingredient is safe and effective "when used as directed," adds Tonia Elrod, a spokeswoman for Procter & Gamble, the manufacturer of Crest toothpaste, which contains sorbitol.Sweetener Side Effects: Case Histories
 
Zipo chinese traditional medicine zilizowasaidia watu wengi ninaowafahamu kwasababu ya kusaidia kurekebisha cells na kongosho
dawa hizi ni kama andy bete, fur seal oil, aloe, sprilina, golden oyster, gonaderma,
ni suppliment nzuri na zimemsaidia mama yangu mdogo sana na zikamuwezesha kutotumia tena insulin injection
unaweza zitafuta kwa wale wanaoamini kwa chinese medicine
 
asante kwa makala hii nzuri
Naona pia umeamua kuweka na bishara yako ya dawa bila shaka utalipia kwa mods tangazo lako
 
Mlonge ni nini na ina faida gani kwa mtu mwenye kisukari?
Mkuu, jibu zuri kwa swali lako ni kwenga Google, andika neno MLONGE au MALONGE halafu soma kwa kiina. Mmea huo umeongelewa sana kwenye websites nyingi na umetafitiwa kwa miaka mingi sana.

Kwa Tanzania kaya nyingi sana zimepanda mmea huo, pale Muhimbili watafiti wa dawa za asilia kitengo cha MUHAS wanauza kujipatia chai kidogo na wengine huchanganya product ya mmea huo na chachandu kadhaa. Ulihoi nkoi?
 
wakati dunia ikiazimisha siku ya ugonjwa wa kisukari, kuna baadhi yetu hatuzijui dalili za mwanzo za ugonjwa huu ili tujithamini, si unajua watanzania hatuendi hospitali mpaka tuzidiwe?
 
Habari za weekend ndefu wana jf.

Binafsi nimekuwa nikipata shida sana na kupata maelezo tofauti tofauti kuhusu huu ugonjwa wa kisukari. Wapo wanaosema ukinywa soda sana utapata kisukari(ingawa hawasemi soda ngapi kwa siku au wiki), wapo wanaosema ukiweka sukari nyingi kwenye chai au juice utapata kisukari, kwa lugha rahisi vitu vya sukari vinasababisha ugonjwa wa kisukari.

Leo naomba wataalam mtuelimishe, ugonjwa huu unasababishwa na nini? na je kuna kinga. Wataalamu tusaidieni tafadhali ili tujitahidi kuwaelisha wengine na sisi wenyewe pia. Na kama ugonjwa huu unasababishwa na sukari, mbadala wake ni nini?

Natanguliza shukrani za dhati.
 
Hauwezi kutabiriwa soda kiasi gani kwa wiki inaweza kusababisha sukari...Soda/Sukari nyingi sio nzuri kwa afya yako kwa ujumla kwahio ni vizuri ukiiepuka kutumia ...Ninachoweza kukushauri ni kula vyakula healthy na natural sio artifical readymade foods/junk foods!
Insulin ni homoni inayozalishwa kwenye pancreas.Kwa muonekano unaweza kutazama picha chini hapo
CDR636528-571.jpg
Kwa lugha rahisi insulin ni UFUNGUO ambao unachukua sukari kutoka kwenye DAMU kupeleka kwenye Body CELLS.Body CELLS zinahitaji glucose au sukari ili kutengeneza energy.Kama umesomea baiolojia utajua Body cells ni nini,mwili wa mwanaadamu umejengwa na thousands of body cells which are also called animal cells.
Mfano kama mtu ana ugonjwa wa kisukari na hatibiwi inamaana kutakuwa na muongezeko wa sukari kwenye damu na hali hio itasababisha UBONGO kukosa glucose(energy) hatimae kupelekea kifo.
insulin.png
Ugonjwa wa kisukari unampata mtu anapokuwa na mapungufu ya homoni ya insulin au kutozalishwa kabisa na homoni ya insulin.
Ugonjwa wa kisukari umegawanyika katika makundi matatu:
  • Diabetes Type I
Watu wanaopatwa na Diabetes type I wanakuwa hawana uwezo wa kuzalishwa kwa homoni ya insulin kabisa mwilini,ni lazima wachome sindano za homoni ya insulin.Hali hii inasababishwa na kurithi na mtu anazaliwa na ugonjwa huu.Waathirika wa ugonjwa huu hawawezi kupona.

  • Diabetes Type II
Hali hii huwapata haswa watu walokula chumvi kuanzia 40+ na inatokana na kutokujali afya kwa kupenda kula vyakula ambavyo si vizuri kiafya fatty foods,vyenye sukari nyingi ambayo hupelekea Pancreas kuwajibika (overproduce) insulin kwa wingi kuliko ipasavyo hatimae kudhoofika kabla ya wakati wake au kupungua kwa uwezo wake wa kufanya kazi.Watu wanaopatwa na Diabetes type II wanauwezo wa kupona wakifata matibabu ipsavayo na kula healthy pamoja na mazoezi.Waathirika wa ugonjwa huu hutibiwa kwa vidonge kwasababu wengi wao wanao uwezo wa kuproduce homoni ya insulin ijapokuwa inakuwa sio ya kutosheleza.Kuna uwezekano pia waathirika wa ugonjwa huu wakapoteza kabisa uwezo wa kutengeneza inslin na hatimae kuhitaji sindano kama wa Type I.

  • Kuna kisukari cha mimba vilevile ambacho huwapata wajauzito.
Kuna uzi tofauti ambazo zimeanzishwa kuhusu mjadala wa ugonjwa huu..Nakushauri ujaribu kuperuzi utajifunza kitu!!
 
UPUNGUFU WA SUKARI MWILINI
WANAJAMVI habari za kazi? tafadhali naomba mnijuze juu ya hili, mtoto wangu wa kiume mwenye umri wa miaka sita alienda likizo kwa bibi na babu yake, tukawa na mpango wa kumhamishia shule huko huko kwakuwa tuliipenda shule moja iliyoko kule yenye kiwango kilichotuvutia, wakati tunafanyia kazi wazo hilo nilipata safari ya kikazi ikanipasa nifike mpaka pale nyumbani niwaone, ghafla kwa kuongozwa na roho wa MUNGU NAAMINI hivyo nikamweleza mama mkwe wangu kuwa nitaondoka na mtoto akasome tu kulekule alikokuwa anasoma mwanzo, mama mkwe hakupinga bali alifurahi sana, nikastaajabu kwakuwa yeye alikuwa kinara ktk kusisitiza mtoto lazima abaki kwake asomee ile shule, nikachukulia poa labda nae amebadili mawazo,kumbe bila hata kuelezwa mtoto aliugua sana na wakampeleka hospital wakaelezwa kuwa ana tatizo la upungufu wa sukari mwilini hali iliyompelekea hata kupatiwa dawa kupitia njia ya haja kubwa, niliishiwa nguvu kwakweli baada ya kupata habari hizi tena kupitia mtu mwingine eti waliogopa kunieleza ningepanic, SWALI LANGU KWA WATAALAMU
1. JE NINI CHANZO CHA TATIZO HILO?
2.TIBA SAHIHI NITAIPATAJE?
3.UFAFANUZI JUU YA HIZO DAWA ZINAZOPITISHIWA NJIA YA HAJA KUBWA

 
Dawa gani aliopatiwa kwa njia ya haja kubwa,unajua jina la active ingredient?Zipo dawa ambazo zinaitwa supporitories ambazo zinatumika kuweka kwenye njia ya haja kubwa,Ni aina moja wapo ya drug formulation kama ilivyo vidonge vya kawaida,mixtures,capsules,cream n.k Lakini sijawahi kusikia dawa hizo zinaweza kutumika kupandisha sukari au kama mtoto alipatiwa painkillers za kawaida!
Mapungufu ya sukari(HYPOGLYCEMIA) kwa watoto yanaweza kusababishwa na vitu tofauti kimojawapo ni

  • utapia mlo,
  • Kutapika
  • Kuhara
  • Muongezeko wa homoni ya insulin(HYPERINSULINISM)
  • Hypopituitarsim
  • Kukaa muda mrefu bila mlo
  • Kisukari cha aina ya kwanza
  • Mapungufu kwenye metabolism
  • Madawa kama sulfonylureas

Tiba

Kwa dalili nyepesi mtoto anatakiwa apewe kinywaji kitamu chenye sukari ili kupandisha sukari
Kwa moderate symptoms,mtoto anatakiwa apewe 10-20 grams of glucose kama sukari n.k
Kwa dalili za hatari,Glucagon 0,5-1 mg injection ndio suluhisho,inatakiwa ichomwe chini ya ngozi(subuctan)
Tafadhali naomba uchunguze mtoto anapatwa na hali hio wakati gani?Hana sababu zozote nilizozibold hapo juu kwa rangu nyekundu?
 
Habarii wana-JF

Mimi nina miaka 31 nmegundulika kuwa nina kisukari kama miezi 4 iliyopita.

Dr akanishauri nianze diet kwanza kabla ya dawa nione kama nitacontrol.

Ila nasikia kuna dawa za asili zinaweza kutibu naomba kama yupo mtu mwenye uzoefu au aliwahi kutumia dawa za asili zikamponya aniongoze namm nipite njia hiyo,maana siku hizi wengi wanasema wanatibu lakini naona ni matapeli naweza poteza pesa zangu nataka mtu mwenye uhakika.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom