Tatizo gani nitapata nisipoenda JKT baada ya kuchaguliwa?

Duh vp nikienda kambi nyngne nackia hawana shda
Ni kweli ilikuwa kawaida kwa mujibu wa sheria kwenda kambi nyingine na kulikuwa hakuna tatzo 7bu huwa wanaandikishwa upya hatujui mwaka huu utaratibu ulivyo ila,ni vizuri sana nenda,ulikopangiwa
 
Bora achepuke home kuliko kuchepuliwa na maafande na makuruta.
Mwache aende,mwaka juzi nilikuwa jkt makutupola intake ya walimu kwa nilivoona sidhani kama unaweza pata hata muda wa kuwaza ngono, ni kazi kwa kwenda mbele ambazo zinaufanya mwili uchoke ,hamu zote za ngono hupati hata kama ungekuwa na nguvu kama za fisi maji,let the lady go for the betterment of her future,who knows tomorrow?
 
Back
Top Bottom