Tatizo gani nitapata nisipoenda JKT baada ya kuchaguliwa?

Kwa mantiki hiyo wangu haendi, wakimyima kazi hapo mbeleni powa tu. Atasimamia miradi yangu na nitamlipa mshahara wakueleweka ambao huko asingepewa.
Mwache tu aende kulko abaki alafu achepuke...cbora angeenda...
 
Habari wana JF ,

Kuna tatizo gani endapo mtu hatakwenda JKT kwa mujibu wa sheria baada ya kuchaguliwa?

Naombeni ushauri tafadhali
Dogo mimi nakushauri uende 7bu huwez jua matumizi ya kile cheti cha jkt huko mbeleni halafu hii kozi ni ya lazima,kwa mliochaguliwa
 
Back
Top Bottom