Tathmini yangu fupi kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri

Usingemjibu huyo jamaa nafikiri hatumii vyema ubongo wake.
Ishu ya cashewnut ilifeli mazima ndiyo maana awamu hii kwenye kampeni CCM ilikuwa inajiapiza kwa wananchi kuwa hawataingilia tena ishu ya Korosho.Hakuna kilichofaulu kwenye ishu ya korosho.
 
Nitashangaa sana kama sitaona sura mpya katika wizara ya elimu.

Narudi tena nitashangaa sana kama sitaona sura mpya katika wizara ya elimu.
 
Acha bangi. Tulia awe waziri mkuu mbele ya jemedari majaliwa? Top 3 haibadilìki.

Mpango habadilishwi, mbarawa na ujenzi, maji na mkumbo, uwekezaji kimei, nje kabudi, jafo hàpo hapo
Naona hadi sasa utabiri wako upo vizuri, nawe ni kijukuu cha mtume au nabii?
 
Nawakarbisha wazee wa kutabri tupige lamli juu ya baraza jipya la Mawaziri litakalokuja na wale ambao hawatarudi kabsa kwenye viti vyao.

Mi naanza na waziri wa Michezo Choirmaster/ Mwana falsafa ikishindikana sana Ndugu Polepole atakaa hapo.

Ndugu Mstaafu naona ye ndio ataendelea kula pension yake tuuu

Huyu bwana Khamis wa pili kigwagwala network kama inakata hivi atabaki bench.

..... Nasubr hzo tabr
Tukatukata Tena baada ya uteuzi kuona nani Kate yake ipo vizuri zaidi.
 
kwa mazoea ya siasa za tz pamoja na mambo mengne uteuzi utazingatia
1.elimu:
shahada ya awali na kuendelea japo sio lazima kwa matakwa ya kikatiba (prof hawezi kuwa naibu kwa vyovyote)

2.cv ya mbunge mwenyewe
kwa maana ya record, kwamba je anateulika?
kwa mfano wabunge kama steven kebwe, chiza,kapuya nk (sijui kama wamerudi) ni vigumu kuteuliwa coz hawatarajiwi kuwa na output mpya

3.mtawanyiko wa kitaifa
hapa kila mkoa ni lazima utoe waziri au naibu au wote..

4..balance ya kidini ingawaje sio lazima iwe 50/50 inaweza kuwa 60/40 au 70/30 au 65/35 hapa ni uislam vs ukristu

5.mapenzi au ushabiki binafsi wa anayeteua.

kwa msingi huu tarajia sura mpya nje ya wale 294 wa majimbo ambao tayariwanajulikana..natabiri ktk nafas 10 za uteuzi wa wabunge alizonazo rais kikanuni, wapo mawaziri 5-6 akiwemo bwana polepole

6..umri na
hatutarajii kumuona mkuchika akirejea kwny cabinet..japo mda mwngne sio sababu ya msingi na ndio maana kabudi yumo

7..mtizamo wa anayeteua.
kwa hulka ya bwana JIWE, wabunge wote ambao wamewahi kuonyesha wazi ambition,ndoto,mkakati, ya kuwa rais ajaye baada yake, (sio dhambi)
hawatapewa wizara yeyote, na ikitokea kapewa basi ni wizara ndogo au unaibu,
lengo ni kumnyima mhusika coverage ya kusikika..kuonekana

Huo ndio uhalisia
 
Tuache kuwatabiria ili mkulu asiwapige chini
 
Safari hii tegemea waziri mchagga. Kama sio kutoka Vunjo basi atatokea Rombo.
Chakubanga atapewa wizara nyeti.
Mdee waziri mdogo.
Madini atakua waziri mpya.
Kingwarangwwara atakua benchi.
Mkuchika atakua ulinzi.
Kibakaji atakua waziri wa afya.
 
Upo sawa ila hujadodosha tabr yako licha ya maelezo ya kina na mazuri
 
Safari hii tegemea waziri mchagga. Kama sio kutoka Vunjo basi atatokea Rombo.
Chakubanga atapewa wizara nyeti.
Mdee waziri mdogo.
Madini atakua waziri mpya.
Kingwarangwwara atakua benchi.
Mkuchika atakua ulinzi.
Kibakaji atakua waziri wa afya.
Umenichekesha sana Mzee chakubanga ndio nani sasa tena...Kwenye Madini mm bado namuacha bwana DOTTO.
 
Kwa kweli Wizara hii inahitaji mtu mtulivu sana sana sana!

Maana jeshi linaweza kujiendesha lenyewe, hatutaki mtu wa matukio, tunataka MATURED Person kama Simbachawene
 
Back
Top Bottom