Tathmini: Vinega na AntiVirus movement

mr gentleman

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
3,223
4,679
Movement ya Anti-Virus ilianzishwa kimya kimya na Mapacha Wa Maujanja Saplayaz baada ya kulalamikia unyonyaji uliopitiliza katika kituo kimoja cha redio jijini Dar es Salaam. Wakiwa wawili tu Magenge ya Mwenge waliweza kuwahamasisha wadau wa muziki na punde harakati zao zikaanza kushika kasi na jina la Anti-Virus kuzaliwa rasmi. Kupigana kwao na misimamo yao kupinga unyonyaji ilipelekea kuwavutia wasanii wengine nguli akiwemo
Mheshimiwa Joseph Mbilinyi aka Sugu ambaye kwa kiasi kikubwa alikuja kuzikuza sana harakati hizi za Anti-Virus.

Kuingia kwa Sugu katika movement kulikusaidia kuwaleta wasanii wengine wengi ambao wengine pengine walikuwa wakiogopa kutokana na vitisho vya
kubaniwa nyimbo zao na kunyimwa show au pengine hawakuona kama kuna chochote kitakachobadilika. Baada ya Anti-Virus Vol One kutoka na wasanii kadhaa kuingia kwenye harakati, Volume Two ya mixtape ya harakati ikaanza kuandaliwa. Ndani ya volume two wasanii kibao waliingiza sauti akiwemo Sugu, Rama Dee, Magenge wenyewe, Peen Lawyer, Adili, Soggy, Suma G na production ilisimamiwa na Kijana Chapakazi studio chini ya mzalishaji
mkongwe Profesa Ludigo na
 
mapacha wameawaomba msamaha clouds,kala pipna nae alienda kuandika barua na kuwaomba msamaha clouds mi nahisi cha msingi kwanza ni msanii kujiamini kwamba kazi yangu ni nuri nina kipaji na naweza kutamba hata nikibaniwa then cha pili kuwa na mipango plus management wasanii wengi hawana management wakiamini wanaweza kupamabana na kujisimamia mwenyewe mziki wa sasa hivi umebadilika msanii ukishakuwa mkubwa basi unakuwa taasisi lazima wawepo watu wa pembeni kukusaidiia kiushari,mipango na hata kifedha.
 
Back
Top Bottom