Tarime sasa shwari - Polisi

Wa Ndima

JF-Expert Member
Aug 13, 2010
1,526
323
Miili ya marehemu waliouawa na Polisi imezikwa leo bila mikusanyiko ya watu baada ya Polisi kupiga marufuku mikusanyiko. Wanasema kwa sasa hali ni shwari na watu wanaendelea na shughuli zao kama kawaida.

Nini kitafuata...?
 
Polisi hao ni vituko. Shwari maana yake nini wakati watu wameuawa? Ndugu na wategemezi wa hao walouliwa watapata wapi ushwari?
 
Huo ushwari unaanzia wapi wakati wananchi wako kwenye maombolezo ya ndugu zao na wengine wamepoteza ndugu wawili kwenye matukio kama haya
 
Back
Top Bottom