Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

Jamani, kwanza tusaidiane zaidi wangapi wameweza kujaribu maandiko ya hii topic na wamefanikiwa? Maana sisi wengine bado hatujajaribu hizo date kama ni sahii au sio sahihi. Pamoja!!
 
Duh! kwanza nimpongeze sana huyu kungurumweupe kwa kazi nzuri aliyoifany ya kutuelimisha wengi humu,Mi naifanyia kazi ikifanikiwa nitawajulisha wanajf.Na nina ndugu yangu kaolewa sasa ni mwaka wa nne hana mtoto nitamshauri aipitie hii mada kwa makini.
 
Ubungoubungo tunakushukuru sana kwa kutuletea hili swala, mimi mwenzeni timing za kupata mtoto wa kike zimenikosa, ebu nipeni means mwenzangu yeye anapenda wa kiume na kila mara ananidunga ikifika siku ile ya kupata watoto kiume.

Sasa nipeni dili nifanyeje maana niko kwenye process za kutafuta wa last born nataka awe wa kike.

Asante sana.
 
Siku ukiingia Period usimwambie ili upoteze lengo lake umfiche siku 2 za mwanzo. Kwani una watoto wa kiume wangapi?
 
Hivi kupata mapacha mbinu gani zitumike?

...nasikia mapacha wanapatikana kwa genes ukoo wenu mna mapacha basi kuna uwezekano ukapata mapacha......je kama ukoo hauna historia ya mapacha unaweza kupata twins?
 
Kuna kitu hata mimi sijaelewa hapo, kuna mtu hapa amesema kuwa, ati mwanamke akiwa anaenda siku pungufu ya kumi na nne ana matatizo na hatopata mtoto. nielewavyo mimi, kuna wanawake wengine wanaenda bleed siku hata 22 na 23. Je hao nao hawatapata mtoto? na kwanini.[/QUOTE]

Wala usiwe na wasiwasi ndugu yangu,uwe na siku 22 au siku 32 wewe hesabu tu kuanzia siku unayopata bleed yako mpaka siku ya 14 km kawaida.Mimi mwenyewe shahidi wa hilo,mzunguko wangu is just 21 days na nimepata watoto wa3 bila kutumia dawa yoyote si ya hospital wala ya mganga wa kienyeji bali kuhesabu tu hizo siku.
 
Wakuu mbona kimya!? Au hamjafanya experiments zenu?! Does it work for u?!

Mkuu, nikurudishe nyuma kidogo. Kuna 'specific' time ya kujivinjari na ma-msapu ile siku ya mimba (15th day) ambapo yai linakuwa limefika sehemu barabara au mnaweza kulianzisha tangu asubuhi ya siku hiyo, mchana na usiku wooote! ...ili kuwa katika 'safe side'?

Sorry mkuu, wengine tuliimwaga biology tangu form two!
 
jamani hii kitu ina work out, tulikuwa tuna kashida kidogo cha mama kujaa, lakini baada ya kutumia hii trick imefanya kazi sawasawa now is 4months,
natoa shukrani saaana kwa mwalimu, doctor Kunguru mweupe,
kama kuna mtu hajaielewa vizuri naweza kumfahamisha nilichofanya
 
Mkuu, nikurudishe nyuma kidogo. Kuna 'specific' time ya kujivinjari na ma-msapu ile siku ya mimba (15th day) ambapo yai linakuwa limefika sehemu barabara au mnaweza kulianzisha tangu asubuhi ya siku hiyo, mchana na usiku wooote! ...ili kuwa katika 'safe side'?

Sorry mkuu, wengine tuliimwaga biology tangu form two!


Sinyolita,

You can do it at any time on the 15th day! Remember, it needs a healthy man to score only a single goal to fertilize the eggy because we only need a single healthy sperm out of millions he can produce at once!

Doing it once on the 15th day will most likely give you a baby boy!

But if you real need a baby girl then you can do it at once any time 2days before the 15th day! That means you have to do it on day12 if your cycle length is of 28 days, because the fertile day is day14 when counting forward (i.e 15th day when counting backwards).


day1, day2, day3, day4, day5, day6, day7, day8, day9,day10, day11, day12, day13, day14(i.e.15th day when counting backward from day28), day15, day16, day17, day18, day19, day20, day21, day22, day23, day24, day25, day26, day27, day28.


Remember, the 15th day above can be pinpointed when counting backward 15 days from the last day of your cycle, and infact, it is day14 when counting forward from day1 for a woman with cycle length of 28days!!
 
Last edited:
Back
Top Bottom